Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Badili distributor cap..utanizawadia ka-laga hahahahaaa...Ilianza tu ghafla kuwa kuna wakati naendesha inakata mafuta. Nikapeleka kwa fundi akasema ni pump ya mafuta tukabadilisha.ikaendelea pia kwa muda flan pia inakata hivyo hivyo baada ya mwendo flan inazima inabidi niipark then niiwashe baadaye kidogo fundi tena akasema ni pump nikabadilisha.
Ikawa tena inatembea smetme inazima nawasha naendelea na safari leo imewaka baada ya muda ikazima. Na imegoma kabisa kuwaka. Ni kama mafuta hayapandi.fundi kaangalia pump anasema ipo fresh. Anasema itakuwa control box. Je kuna mtu ana uzoefu na jambo hili kwa Toyota Ipsum old model?
Check plug na coil, kuna kipindi ya kwangu ilikuwa na tatizo kama hilo, coil zote mbili zilikuwa zinapiga moto nje hata ukiweka sikio unasikia cheche zikipiga nje badala ya kuelekeza moto kwenye plug.Ilianza tu ghafla kuwa kuna wakati naendesha inakata mafuta. Nikapeleka kwa fundi akasema ni pump ya mafuta tukabadilisha.ikaendelea pia kwa muda flan pia inakata hivyo hivyo baada ya mwendo flan inazima inabidi niipark then niiwashe baadaye kidogo fundi tena akasema ni pump nikabadilisha.
Ikawa tena inatembea smetme inazima nawasha naendelea na safari leo imewaka baada ya muda ikazima. Na imegoma kabisa kuwaka. Ni kama mafuta hayapandi.fundi kaangalia pump anasema ipo fresh. Anasema itakuwa control box. Je kuna mtu ana uzoefu na jambo hili kwa Toyota Ipsum old model?
Badili distributor cap..utanizawadia ka-laga hahahahaaa...