figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 28,132 Reaction score 64,416 Aug 31, 2025 #1 Gar yawaka Moto Masumbwe Kahama ikiwa na Mchele Hapa Mlalahoi anarudisha mpira kwa kipa. Ng'ombe wa masikini hazai Your browser is not able to display this video.
Gar yawaka Moto Masumbwe Kahama ikiwa na Mchele Hapa Mlalahoi anarudisha mpira kwa kipa. Ng'ombe wa masikini hazai Your browser is not able to display this video.
Castle_Lite JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 4,646 Reaction score 10,442 Aug 31, 2025 #2 Pole kwa waliofikwa na hayo majanga. Ila Binadamu hawaaminiki. Usikute Dereva alishashusha gunia zake za mchele na kuuza. Hapo kaweka pumba . Na kawasha gar ya mtu moto.
Pole kwa waliofikwa na hayo majanga. Ila Binadamu hawaaminiki. Usikute Dereva alishashusha gunia zake za mchele na kuuza. Hapo kaweka pumba . Na kawasha gar ya mtu moto.
Yohimbe bark JF-Expert Member Joined Sep 1, 2019 Posts 2,871 Reaction score 7,347 Aug 31, 2025 #3 Noma
Victor Mlaki JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 5,628 Reaction score 6,411 Aug 31, 2025 #4 Sehemu gani hapo?