Wakuu nahitaji mwenye uzoefu wa gari zinazotengenezwa na kampuni ya HONDA especially hizi crossover SUV kama CR-V, ELEMENT etc
- Nahitaji kufahamu uimara wake kwa mikiki mikiki ya hapa bongo
- Comfortability barabarani
-Service na Maintenance yake
- Upatikanaji wa vipuri (spare parts)
Asanteni!