Wakuu Salaam,yoyote mwenye uelewa juu ya gari za kampuni ya Honda hasa hizi SUV kwa matumizi ya barabara zetu za Tanzania/Off Roads,durability yake,upatikanaji wa spare parts zake,services yake na utumiaji wa mafuta wa hizi gari.
Mkuu vipi kuhusu upatikanaji wa spare parts zake,umaira wake kwenye off roads za kibongo,matumizi ya mafuta,services yake na pia durability yake inakuwaje?