Gari za kwenda bagamoyo zinapatikana wapi

Gari za kwenda bagamoyo zinapatikana wapi

Makumbusho, Mawasiliano (simu 2000), Tegeta Nyuki, Bunju, Mbezi kote huko unapata usafiri kuelekea Bagamoyo.
 
Unapandia kutoka wapi? Maswali mengine bwana!!
Mkuu nilikua Morroco...jf wameoweza kunipa msaada wamenipa sio ww unashangaa maswali...wenye akili jf wamenipa muongozo nanimefika
 
Back
Top Bottom