mwakifamba Member Joined Sep 7, 2014 Posts 48 Reaction score 15 Jan 17, 2020 #1 Habari, Huwa kuna kipindi shirika la unhcr huuza magari yao yaliyoshatumika.Kwa anayejua, sio anayedhani, anayejua, gari km hii hap iliyoshatumika unaweza pata kwa bei gani? Attachments 4lfkp1fg1a1ln8yjj41egrt7h.jpg 45.9 KB · Views: 16
Habari, Huwa kuna kipindi shirika la unhcr huuza magari yao yaliyoshatumika.Kwa anayejua, sio anayedhani, anayejua, gari km hii hap iliyoshatumika unaweza pata kwa bei gani?