Mimi mwenyewe sipo Dar ila Mamlaka ya Maji ya mji huu ina huduma hii na inasemekana ni cheaper kuliko kampuni za watu.Mm Niko mbeya mkuu. Sema sifahamu kama hiyo huduma inatolewa na Mamlaka ya maji au jiji
Ni kweliiiThis is uncalled for! Mkuu mbona unaleta taharuki
Mara nyingi ni idara za maji pamoja na watu binafsi.Mm Niko mbeya mkuu. Sema sifahamu kama hiyo huduma inatolewa na Mamlaka ya maji au jiji