Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Habari,
TESLA ni kampuni la magari ya umeme inayomilikiwa na tajiri namba moja duniani Elon Musk, imeondoa feature ya dereva kucheza games huku akiwa anaendesha gari.
Tamko la kuondoka kipengele hicho kimekuja muda si mrefu baada ya uchunguzi uliofanywa na wadhibiti wa shirikisho la usalama, kipengele hiki hadi 2020 kilikuwa kinamruhusu dereva kucheza games wakati gari likiwa limesimama.
Ambapo baada ya update mpya zilifanya dereva kuwa na uwezo wa kucheza game huku gari likiwa kwenye motion.
Japo lengo la kampuni la Tesla kuleta hiyo update mpya ilikuwa kwa sababu ya abiria na si dereva kama mamlaka inavyosema. Hivyo ndio maana wakaruhusu gari kutembea huku likiwa na kipengele cha kuweza kucheza games.
Kwa sasa gari za Tesla feature hiyo ya 'Passenger Play' itakuwa active pale tu gari linapokuwa limesimama.
Nawasilisha.
Cc: Kichafu Kichafu.