Gari za Toyota hazina ubora ama?

Gari za Toyota hazina ubora ama?

Lumbi9

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Posts
8,666
Reaction score
12,178
Mimi ni mpenzi wa music na movie kwa sana, kinachonishangaza ni kote huko ktk matumizi ya magari sijawahi ona kampuni ya toyota.. mara nyingi ni ferari, audi, bmw, range, bentley na kama mandhari ni ya porini huko nako utakutana na land rover flani matata, je, toyota hazina ubora au kuna siri gani hapo.
cc mshana jr RRONDO na wengineo
 
Biashara matangazo watu wameweka pesa pale brand zao zitangazwe kupitia movies.
 
Mkuu mara nying magar ya movie huwa ni ghari sana xo ili wauze huwa wanaingia mkataba na wale wenye movie na huwa wanawalipa! na mwisho kumbuka movie nying zinachezwa marekan na samehow UK nndo ambako magar ya toyota hayapo sana
 
Sure
 
Mimi ni mpenzi wa music na movie kwa sana, kinachonishangaza ni kote huko ktk matumizi ya magari sijawahi ona kampuni ya toyota.. mara nyingi ni ferari, audi, bmw, range, bentley na kama mandhari ni ya porini huko nako utakutana na land rover flani matata, je, toyota hazina ubora au kuna siri gani hapo.
cc mshana jr RRONDO na wengineo
Class....class....BMW,Mercedes,Range Rover zipo kwenye class tofauti na magari ya kawaida. Brand ya Toyota yenye hio class ni LEXUS na ndio zipo sana US/Europe.
 
Nimewasoma wakuu.. thanks!
 
Angalia tyrant na movie nyingi za jangwani na sehemu za vita utaziona
 
Mimi ni mpenzi wa music na movie kwa sana, kinachonishangaza ni kote huko ktk matumizi ya magari sijawahi ona kampuni ya toyota.. mara nyingi ni ferari, audi, bmw, range, bentley na kama mandhari ni ya porini huko nako utakutana na land rover flani matata, je, toyota hazina ubora au kuna siri gani hapo.
cc mshana jr RRONDO na wengineo
Zipo ila sio nyingi na kumbuka mtengenezaji wa TOYOTA ni Mjep ambaye movies zake nyingi hazihusiani na Magari tofauti na wazungu ambao hata hivyo wana mikataba ya matangazo na kampuni husika
 
Mkuu mara nying magar ya movie huwa ni ghari sana xo ili wauze huwa wanaingia mkataba na wale wenye movie na huwa wanawalipa! na mwisho kumbuka movie nying zinachezwa marekan na samehow UK nndo ambako magar ya toyota hayapo sana
Nadhani majibu ya hii comment yamejitosheleza
 
Mimi ni mpenzi wa music na movie kwa sana, kinachonishangaza ni kote huko ktk matumizi ya magari sijawahi ona kampuni ya toyota.. mara nyingi ni ferari, audi, bmw, range, bentley na kama mandhari ni ya porini huko nako utakutana na land rover flani matata, je, toyota hazina ubora au kuna siri gani hapo.
cc mshana jr RRONDO na wengineo
Mbona zipo mkuu, Umeshawahi ona series ya Blindspot?, humo kuna Lexus ambazo ni Toyota
 
TOYOTA ni gari ya Japan. Movies nyingi tunazoziangalia huku zimetengenezewa Marekani. Hivyo ndio maana huoni TOYOTA huko, bali gari ambazo ni za Marekani au ambazo ni za Ulaya (Benz, BMW, n.k). Japo zipo TOYOTA USA, ambazo mara moja moja huwa zinaonekana katika movie. Miundo yake ni tofauti sana na TOYOTA JAPAN, pengine huwa unaziona lakini huzitambui kwa haraka. Mfano mzuri wa TOYOTA zilizopo Marekani ni TOYOTA FJ CRUISER.
 
Mbona zinaonekana sana? Au ulitaka kuona Passo na IST? Ngoja nikupe list ndogo tu ya baadhi ya movies zenye japanese cars.
>>Love For Sale (Toyota L/CRUISER FJ)
>> No Good Deeds (Honda)
>> Banshee (Harrier/Lexus)
>> Sleepless (Honda)
>> Strike Back (Zipo Cruiser za kutosha tu)
>> Green Zone (Mitsubishi)
>> Prison Break ( L/Cruiser VX zimo)
Hizo ni baadhi tu mkuu
 
Wapi Noah?
 
Back
Top Bottom