SureMkuu mara nying magar ya movie huwa ni ghari sana xo ili wauze huwa wanaingia mkataba na wale wenye movie na huwa wanawalipa! na mwisho kumbuka movie nying zinachezwa marekan na samehow UK nndo ambako magar ya toyota hayapo sana
Class....class....BMW,Mercedes,Range Rover zipo kwenye class tofauti na magari ya kawaida. Brand ya Toyota yenye hio class ni LEXUS na ndio zipo sana US/Europe.Mimi ni mpenzi wa music na movie kwa sana, kinachonishangaza ni kote huko ktk matumizi ya magari sijawahi ona kampuni ya toyota.. mara nyingi ni ferari, audi, bmw, range, bentley na kama mandhari ni ya porini huko nako utakutana na land rover flani matata, je, toyota hazina ubora au kuna siri gani hapo.
cc mshana jr RRONDO na wengineo
Sawa mkuuNimewasoma wakuu.. thanks!
Zipo ila sio nyingi na kumbuka mtengenezaji wa TOYOTA ni Mjep ambaye movies zake nyingi hazihusiani na Magari tofauti na wazungu ambao hata hivyo wana mikataba ya matangazo na kampuni husikaMimi ni mpenzi wa music na movie kwa sana, kinachonishangaza ni kote huko ktk matumizi ya magari sijawahi ona kampuni ya toyota.. mara nyingi ni ferari, audi, bmw, range, bentley na kama mandhari ni ya porini huko nako utakutana na land rover flani matata, je, toyota hazina ubora au kuna siri gani hapo.
cc mshana jr RRONDO na wengineo
Nadhani majibu ya hii comment yamejitoshelezaMkuu mara nying magar ya movie huwa ni ghari sana xo ili wauze huwa wanaingia mkataba na wale wenye movie na huwa wanawalipa! na mwisho kumbuka movie nying zinachezwa marekan na samehow UK nndo ambako magar ya toyota hayapo sana
aangalie prison break season ya kwanza kuna vitsMkuu unataka kuona passo au vits kwenye hizo movie.
Hujawahi iona hata stalet mkuu
Mbona zipo mkuu, Umeshawahi ona series ya Blindspot?, humo kuna Lexus ambazo ni ToyotaMimi ni mpenzi wa music na movie kwa sana, kinachonishangaza ni kote huko ktk matumizi ya magari sijawahi ona kampuni ya toyota.. mara nyingi ni ferari, audi, bmw, range, bentley na kama mandhari ni ya porini huko nako utakutana na land rover flani matata, je, toyota hazina ubora au kuna siri gani hapo.
cc mshana jr RRONDO na wengineo
Wapi Noah?Mbona zinaonekana sana? Au ulitaka kuona Passo na IST? Ngoja nikupe list ndogo tu ya baadhi ya movies zenye japanese cars.
>>Love For Sale (Toyota L/CRUISER FJ)
>> No Good Deeds (Honda)
>> Banshee (Harrier/Lexus)
>> Sleepless (Honda)
>> Strike Back (Zipo Cruiser za kutosha tu)
>> Green Zone (Mitsubishi)
>> Prison Break ( L/Cruiser VX zimo)
Hizo ni baadhi tu mkuu