Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,772
- 35,770
Nchi ya wote hii, sio kikundi fulani!.Anatembea na baadhi ya mawaziri na manaibu waziri. hiyo ndo sababu kubwa.
Waziri na naibu wake huwa wanasimamishiwa msafara.
NRNENchi ya wote hii, sio kikundi fulani!.
Suluhisho la mambo kama haya ni katiba mpya tu!
Huu uchawa umezidi Sasa 🙌Anatembea na baadhi ya mawaziri na manaibu waziri. hiyo ndo sababu kubwa.
Waziri na naibu wake huwa wanasimamishiwa msafara.
Nimekuelewa mwana.....
Samia simpendi 😎
Huu ndio ujinga tusioutaka. Wanakuwaje mawaziri wakati sio wabunge, kwani bunge lishavunjwaAnatembea na baadhi ya mawaziri na manaibu waziri. hiyo ndo sababu kubwa.
Waziri na naibu wake huwa wanasimamishiwa msafara.
Hawa askari wanajaribu kuzuia mafuriko kwa mikono. Yote haya kuwatetea wahuni wachache, ilhali wao wako hoi bin taabani.
Arusha bila shaka. Alikuwa anapiga longido na arusha mjin ratb yake leo.Location wapi ? Chapa na picha