Car4Sale GARI ZINAUZWA

Danpol

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2013
Posts
5,727
Reaction score
8,918
Wakuu, habari za mida

Kuna mashine hizi hapa ziko sokon

Bei yake ni 39,000 USD----24,000 USD na maelewano yapo Magari yapo ktk standard nzuri
piga simu
WhatsApp /piga 0622070789



 
Asante mkuu.
hebu tuwekee na twa 2000 usd ili kuendana na vipato vyetu maana hiyo 39,000 usd ni mpaka yule alokodi mawakili kadhaa kwa ajili ya mazungumzo tu na .........
Hahahaha, hayo hayapo ndugu.. labda utafutiwe
 
Nimeamini Watanzania wanaisoma namba.Zimekosa kazi hizo Tanker!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…