Weka specifications zake.View attachment 627220View attachment 627221View attachment 627222
IST bado mpya inauzika kwa mil 7.5
Nichek 0679502252 tufanye biashara
uyu kiumbe yupo ud, pale , desa limekazaSorry Joeverest. Wanakuja wanaohitaji.
Hebu nifahamishe kuhusu ubora ,spare& bei zake,uimara,ulaji mafuta n.k,nahitaji hii
Weka specification yake!
Mkuu hii ipo wapi?
Ipo darMkuu hii ipo wapi?
2.Ina tatizo lolote kama limepata ajali?
3.Ina km ngap?
4.Inadaiwa TRA?/Vibali viko sahihi?