Gari zinauzwa

Evelyn 'Chumvi' endelea tu kumpamba mshkaji haonagi shida kukugawia gari huyu jamaa!We subiri tu utapokea muujiza wako soon!
Teh nlijua tu dizaini yako hamkosekani, mi sijampamba nimemsifia serious, anajibiwa kejeli lakini mwenyewe karelax hiyo ndio lugha ya biashara....
Ngoja nikamsifie zaidi huko pm
 
Nakupongeza sana OVI kwa tangazo lako, kwa sasa unaeleweka, naweza kuwa mteja wako soon!!
 
Reactions: ovi

Mark 11 inauzwa mil 3.0
 

Allion inauzwa mil 8
 

Allioni
Iko dsm
Inauzwa mil 14
 
Passo inaizwa mil 4.5
Iko dsm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…