Gari zinazochajiwa! Bongo Tutazimudu?

eRRy

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2009
Posts
1,126
Reaction score
206

Chevrolet Volt


Nissan Leaf

 
Kwa umeme wa TANESCO, wengi wataishia kuzipaki nyumbani.
 
kwa wabongo hakuna kitu wanashindwa ni wabishi kupindukia lazima waziweze
 
Gari nzuri sana hizo! Naamini ipo siku....... na wala sio mbali ubabaishaji wote bongo utakwisha. Hapo ndo hizo gari wabongo watazifaidi...........
No dowans......
no richmonduli
no fisadi kikwete
no...
no........
 
kwa mgao huu wa umeme magari yatalala njiani
 
Hayo magari hayatufai wabongo coz umeme wenyewe wa manati, halafu yanahatari kwamfano chaji ikikuishia porini utafanya nini?
 
Kwa umeme wa TANESCO, wengi wataishia kuzipaki nyumbani.

Hata majuu bado watu wengi wanazikwepa kwa kuwa zina bei kubwa mno ukilinganisha na magari yanayotumia petroli, labda miaka ijayo kama bei zitapungua zinaweza kupata umaarufu lakini kwa sasa watumiaji wake bado ni wachache mno.
 
Hii Bongo bana:

  1. Fanya ulinganifu, itakucost umeme wa bei gani kulifull, na litatembea km ngapi liwa full charge.
  2. The same distance utatumia mafuta ya pesa ngapi.
Mimi naona gharanma za umeme hapa bongo ni juu mno!!
 
Tusubiri wabuni yanayotumia solar power, hayo ndio yatatufaa wabongo.
 
Teknolojia ya gas as fuel kwenye magari hapa Bongo ina uhai kiasi gani na imekuwa introduced tangu lini?? Accessibility ya gas ikoje, hayo ya umeme mpaka yaje kuwa ni ya kawaida (kuzoeleka) Kibongobongo si leo wala kesho
 
Inategemea na nchi mkuu. Nchi nyengine wanakuwa na contracts maalum kwa watu wanaotumia magari ya umeme. Kuna option ya kutumia umeme wa usiku ambao nchi zilizoendelea unakuwa 'unabaki' kwa hiyo wanauuza kwa bei chee kwa wanunuzi wenye demand kubwa

Hata majuu bado watu wengi wanazikwepa kwa kuwa zina be kubwa mno ukilinganisha na magari yanayotumia petroli, labda miaka ijayo kama bei zitapungua zinaweza kupata umaarufu lakini kwa sasa watumiaji wake bado ni wachache mno.

 
Kwani hayo magari hayana system ya kujichaji? Ina maana yanachajiwa kama simu? Na chaji ikiisha uko porini inakuwaje?
 
NAANZA KUONA KUPOROMOKA KWA UCHUMI WA NCHI ZA KIARABU.....! (20-30 years to come)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…