Google Diggers
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 944
- 1,149
Lkn usumbufu umeshaupataMwanaume kamili hawezi kukubali kufaulishwa kama mzigo
Wanafaulisha wakiwa wameshachukia nauli, mabalishano hayo hufanyika mbele ya safiri ie katikati ya Safari. Waweza komaa ukapewa nauli yako lkn baada ya ubishani,unyanyasaji,maneno machafu,usikute hukuwa na mpango wa kichefuana.Ni kweli inakera sana, kesho au siku nyingine usitoe pesa yako ya nauli mpaka ufike au ukaribie kabisa kufika, na umwambie konda akikufaulisha HULIPI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini Mbagala hawalalaiki au hawana smartphone?Asubuhi asubuhi gari inachukua abiria na kumpa mwingine. Kero kubwa
Wanapokuwa wanajua hawafiki safari tena ni vizuri wakafaulisha kwa gari ya route moja, gari namba hiyo (donor) inafanya safari zake Bunju Sokoni, na gari iliyopewa abiria recipient inafanya safari zake Tegeta Nyuki - Sokoni hizi ni destination mbili tofauti.
Mabadilishano hayo yalifanyika asubuhi milango ya kumi na mbili.
Kwa kawaida abiria wanakubali binafsi kitendo hiki kinanikera sana.
Kuna matatizo mengi kwenye vyombo vya usafiri, ikiwa ni pamoja na ajali, unaripori wapi, polisi kwa nani mawasiliano yapi, Migogoro ya nauli na maonevu mbalimbali, usafirishaji ni idara ambayo kama haina mwenyewe, na kama inayo ni kwa ajili ya kundi la wenye vyombo, abiria wametengwa, wananyanyaswa barabarani, nchi za wenzetu wanajali abiria akiwa ni pamoja na watembea kwa miguu.
Barabara ngapi zinajengwa kwa kuwazingatia watembea kwa miguu.
Na kama kuna chombo kinabeba jukumu la usafirishaji ama linasubiri raisi awake awaadhibu kwanza. Tunapotembea barabarani, njian, mitaani hattutukanani, hatubebeshani mizigo ya watu wengine.
Vyombo vya usafiri ni familia inayoendekeza unyanyasaji kwa abiria ama hata wao kwa wao.
Ushauri:
Hii idara ijipambanue. Kwa mfano hawa wenye daladala watawezaje kufanya hii kazi kwenye majiji kama Dar es salam?
Kitaalamu miji mikubwa inaendeshwa na makampuni sio watu binafsi. Niipongeze serikali kwa mwendo kasi. Udart ni mfano tukufu kwenye sekta ya usafirishaji.
Udart ichukie route za miji yote ya jiji na kama daladala watataka kufanya biashara hiyo wajipambanue kwa usafiri wa kiubia.
Wajiunge wawe kampuni, wawe na mabasi na waendeshe kwa utaratibu wa mabasi ya udart, tiketi tuwe nazo, sio kwa makondakta, ama card nk
Magari madogo yaende nje miji na mikoani.
Nipe umuhimu au uzur Wake Mkuu
Labda itaeleweka zaidi kwa sabab haya mambo bwana balaaNipe umuhimu au uzur Wake Mkuu
Mmh
Asee.!Wewe mleta mada mzanzibari mambo ya daladala au mabasi yaendayo mikoani sio Jambo la muungano koma kabisa kuingilia mambo yasiyo ya kimuungano.Mbona Zanzibar Kuna ile mibus yenye viti vya mbao ya safari ndefu kwenda mikoani nchi ya Zanzibar mbona watu wa bara hatujawahi lalamika jamii forums?
Koma kabisa mjinga Wewe kuingilia vitu visivyo vya muungano
Kawaambie watu wenu wa Zanzibar wamiliki mibasi ya viti vya mbao walete mibasi ya kisasa ya mikoani nchi ya Zanzibar
Mmmmmmm utalalamikiaje ohhh nje ya eti hoo nchi hi Kuna huduma mbaya hoteli hazina vyoo self contained wakati kwenu hoteli hazina vyoo wateja wanajisaidia vichakani?Asee.!
Sijaona sababu ya kumkataza watu wanaongelea adha za nchi za nje mfano south na mtu ni mtz na anakosoa tu.
Wewe umekula maharage ya wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisbo to complex. Dar mwanza.Asubuhi asubuhi gari inachukua abiria na kumpa mwingine. Kero kubwa