Gari nzuri ipo mwanza mjini ni Toyota crown namba D..rangi ya silver ipo katika hali nzuri bei ni millioni 10 japo maongezi yapo..0769344686 nipigie tuzungumze.
Gari nzuri ipo mwanza mjini ni Toyota crown namba D..rangi ya silver ipo katika hali nzuri bei ni millioni 10 japo maongezi yapo..0769344686 nipigie tuzungumze.
Leo mchana nikiwa mitaa ya uzunguni Arusha nimepishana na huyu mnyama na kwa sababu ya mahaba mazito ilibidi niwashe full lights Kama salamu kwa dereva ambaye hata simfahamu kwa kweli kwenye hesabu yangu mwakani itabidi nifanye yangu... Toyota crown 🔥🔥🔥