Gari...

Gari...

Gurta

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2010
Posts
2,233
Reaction score
532
1. Gari imetumbukia baharini.
2. Gari limetumbukia baharini.
3. Gari limedumbukia/imedumbukia baharini.
4. Gari imeingia/limeingia baharini.

Eti ????
 
Unaweza kutumbukia baharini lakini usizamae

Nini maana ya kutumbukia? je gari inaweza kutumbukia baharini halafu likawa bado linaelea ? Nini tofauti ya tumbukia na zama, Mnaojua kiswahili msaada tafadhali
 
Gari limepiga mbizi (Hiki ni kiswahili cha kisasa zaidi)
 
Back
Top Bottom