Gari

Gari

MAFIA

New Member
Joined
Dec 5, 2009
Posts
4
Reaction score
1
Habari wapendwa.natafuta gari ya aina yeyote ya kutembelea lakini isizidi m4.na iwe katika halinzuri.
 
Km upo UK au Japan sema nikuuzie utaisafirisha wewe mwenyewe
 
Mafia gari zipo mbili zote zinatembea kabisa na kwa uhakika
1.Discovery 300 tdi
2.Mark II Grande

Bei ni hiyo hiyo,Kama uko serious nakupa namba yangu kwenye PM yako unitafute
 
With 4 Mil ondoa maneno haya "na iwe katika hali nzuri" kwenye message yako utapata gari!! Kinyume na hapo utapata gari ambayo haijalipiwa ushuru na kusajiliwa i.e. CIF price!

Mafia starehe gharama, kama bado hujajipanga anza na pikipiki mpwa ni full AC 24/7!!
 
Bajaj new model unapata, huumwi na mmbu wala kufukuzwa na mbwa.
 
Nina Escudo milango mitano iko katika hali nzuri sana, bei ni millioni 5, if you are interested will send you photos
 
soma nipashe ya jana, kuna jamaa anauza cresta kwa 3.5m
 
Back
Top Bottom