Gari

RR

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2007
Posts
6,968
Reaction score
2,035
Hivi mwenye gari hii anaweza (au anarusiwa) kukamata gari nyingine kwa madai ya ubovu?
 

Attachments

  • gari.jpg
    79.5 KB · Views: 57
  • gari1.jpg
    100.2 KB · Views: 56
Nimekosa na picha ya indiketa, dereva anatumia mikono yake kuonyesha upande anaoelekea.
 
Nimekosa na picha ya indiketa, dereva anatumia mikono yake kuonyesha upande anaoelekea.
tatizo service mkubwa, hawa kina marwa wakipewa pesa ya service wanakimbilia kwa mama Kayayiii. Ingia ndani uone imetembea km 50000 hata service bado. Badae OCS na OCD wanataka kila likitoka lirudi na magunia ya mkaa, pesa apat wapi UTAJIJU WE SI MTU MZIMA? Akishindwa anahamishwa kitua na kwenda kusomba mahabusu!
 
hiyo mbona nzuri, kuna vile vidogo ambavyo huwa ni taxi usiku, ukikutana nacho unatamani ukikamate wewe
 
Kinachokera jamaa wanakamata magari, wanauliza wapi indiketa? washa full light....taa za breki etc
 
Mkuu ukienda mikoani gari za hao jamaa hata brake hazina hiyo ni brand new.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…