Isaidie pia Northern West of Kenya.Hiyo ni katiba ya ugatuzi inayofanya kazi....imesaidia sana kaunti kadha wa kadha.
Hongera zao, MAANA hao walisahaulika muda mrefu, utafikiri hawako kwenye republicof Kenya.
Vipi kwenu mikoa ya Kusini, mumeanza kufanya wahisi kama wapo Tanzania au bado mumewakaushia. Maana gesi iliwapa matumaini makubwa lakini sijui kama wanafaidi.
na juzi daraja la Kilombero limefunguliwa hii ina maana kwenda Songea njia inakuwa fupi zaidi! Ni ujuha wa hali ya juu kujaribu kufananisha mikoa ya kusini na mikoa ya Kaskazini ya Kenya!Nenda kawahi fursa, MAANA mikoa imefunguka, barabara za kisasa zimefika huko. Siku hizi Dar Mtwara mpaka Lindi wala huwazi, mpaka bus la saa sita mchana unalipata. Siku hizi Dar SONGEA hupitii NYANDA za juu Iringa na Njombe, unapita Mtwara Masasi Lindi Namtumbo mpaka SONGEA. Ni fupi pia haina milima. Sijui lkn kama unajua pande hizo.
Yep! umenena hapo kweli. Magavana sasa wana kibarua cha kuendeleza kaunti zao. Nlisikia jana kwenye taarifa kwamba serikali kuu inataka kuongeza budget za kaunti. Itakuwa vyema mradi magavana waende kazi sasa.Isaidie pia Northern West of Kenya.