Kitunguu Saumu hakiwezi kutibu peke yake hayo matatizo yako ya nyayo kuwaka moto umejitahidi lakini bado hujakamilisha dawa kamili.Salaam.
Naombeni msaada kwa anaye fahamu, Mimi ninatatizo la nyayo kuwaka Moto, ila juzi juzi nimepaka kitunguu swaumu miguuni Na matokeo yake Ni kwamba; MAUMIVU YALIYOKUWA KWENYE UNYAYO MZIMA, YAMEKUSANYWA KATIKATI YA UNYAYO PEKE YAKE.
Swali langu, je ni kweli kitunguu swaumu kinaweza kutibu tatizo langu?
Na nifanye nini zaidi ili maumivu yakome kabisa?
NB. Nilipaka kitunguu swaumu ili kutibu mafua.
MziziMkavumuwe mnarudisha feedback ili na sisi tujue tiba ilipo
Nina mazoea ya kuamka kila siku Asubuhi na kupata juisi ya limao glasi moja kabla ya hata kupiga mswaki...
Sasa hivi nataka nimeze chembe za vitunguu swaumu huku nasukumizia na juisi ya Maji, je kuta kuwa na madhala hapo.....????
¢¢ Mzizi. Kavu
Kwa kupata juisi ya limau unachanganya na maji ya Uvuguvugu juisi ya limau ni (alkaline) itakusaidia kuondowa sumu mbaya mwilini mwako aka Detoxic na pia kukupunguza mwili au kitambi au mafuta mwilini mwako. Na Ukila chembe 2 za kitunguu saumu pamoja na juisi ya limau utakuwa umefunga kazi hapo hupatwi na amradhi yoyote mwilini mwako ni kinga tosha dhidi ya maradhi. Na Wakati wa usiku kula chembe 2 za kitunguu saumu fanya hivyo kila siku mafua,malaria,Saratani na maradhi mengine mabaya utayasikia Redioni wewe hutoumwa tena.Nina mazoea ya kuamka kila siku Asubuhi na kupata juisi ya limao glasi moja kabla ya hata kupiga mswaki...
Sasa hivi nataka nimeze chembe za vitunguu swaumu huku nasukumizia na juisi ya Maji, je kuta kuwa na madhala hapo.....????
¢¢ Mzizi. Kavu
Ahsante Mkuu nimekuelewa sana, Mungu akubaliki.....!!!Kwa kupata juisi ya limau unachanganya na maji ya Uvuguvugu juisi ya limau ni (alkaline) itakusaidia kuondowa sumu mbaya mwilini mwako aka Detoxic na pia kukupunguza mwili au kitambi au mafuta mwilini mwako. Na Ukila chembe 2 za kitunguu saumu pamoja na juisi ya limau utakuwa umefunga kazi hapo hupatwi na amradhi yoyote mwilini mwako ni kinga tosha dhidi ya maradhi. Na Wakati wa usiku kula chembe 2 za kitunguu saumu fanya hivyo kila siku mafua,malaria,Saratani na maradhi mengine mabaya utayasikia Redioni wewe hutoumwa tena.
View attachment 433789
Kama hakuna malimao utasukumizia nini vituu saumu? Halafu inaposemwa kipande cha kitunguu huwa ina maana ya ile punje nzima unayoikuta haijamenywa au unamaanisha ni kipande kilichokatwa kutoka kwenye punje?Kwa kupata juisi ya limau unachanganya na maji ya Uvuguvugu juisi ya limau ni (alkaline) itakusaidia kuondowa sumu mbaya mwilini mwako aka Detoxic na pia kukupunguza mwili au kitambi au mafuta mwilini mwako. Na Ukila chembe 2 za kitunguu saumu pamoja na juisi ya limau utakuwa umefunga kazi hapo hupatwi na amradhi yoyote mwilini mwako ni kinga tosha dhidi ya maradhi. Na Wakati wa usiku kula chembe 2 za kitunguu saumu fanya hivyo kila siku mafua,malaria,Saratani na maradhi mengine mabaya utayasikia Redioni wewe hutoumwa tena.
View attachment 433789