Gary Neville aliwahi kusema haya kuhusu Liverpool

Gary Neville aliwahi kusema haya kuhusu Liverpool

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Gary Neville aliwahi sema Liverpool hebebi ubingwa na kama akibeba ubingwa wa ligi ataenda Papa new Giunea.

Liverpool akapindua meza na Akasafiri baada ya kukiri Liverpool made the difference.

Football is universal na ina maajabu yake na we ve to cherish.

Usiku wa jana Madrid made the impossible Possible.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madrid ina moyo fulani hivi wa kupambana kikubwa na kiume hata Kama haipo kwenye kilele chake...siyo Kama timu yetu ya man utd ni uozo wa takataka tu...
 
Thomas Tuchel alitoka PSG aakashinda UEFA Chelsea
 
Nawashangaa mashabiki wenzangu wa United wanaolilia jamaa aje OT sijui wanatumia vigezo gani?
Aisee nipo naww mkuu .....
Yule jamaa Mimi siuoni uwezo wake wa kuibadilisha manutd .......na Hana mbinu zozote za kimpira zenye ushawishi kwamba ana kitu cha kufanya pale.......Mimi binafsi sioni.

tutaenda kuwa kama enzi za Moyes ....kujaribu.
 
Yaani timu yetu imekuwa ni ya kujaribu jaribu ty
 
Yaani timu yetu imekuwa ni ya kujaribu jaribu ty
itachukua miaka mingi mkuu kuja kutambua kwamba Timu inadumbukia shimoni ........

Nafikiri tuwaache wamiliki na bodi waipeleke wanavyotaka wao .... sababu mapato yapo they don't care ....

Tuishi tu....tusicomplicate mambo
 
Back
Top Bottom