Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Kwenye kuusoma mchezo,Jana Neymar na Messi hawakupaswa kumaliza dk zote zile
Nilitaka kusema the same!! Daah Soccer bwanaaa!!Kwenye kuusoma mchezo,Jana Neymar na Messi hawakupaswa kumaliza dk zote zile
Nawashangaa mashabiki wenzangu wa United wanaolilia jamaa aje OT sijui wanatumia vigezo gani?
Mm Kwa Sasa siangalii mechi za Utd Maana naona wanaocheza ni Watoto TuNawashangaa mashabiki wenzangu wa United wanaolilia jamaa aje OT sijui wanatumia vigezo gani?
Yesmmmmh it was impossible yesterday for madrid ?
Wanakatisha tamaa sana mimi pia sikuiangalia game vs City nilikuwa chumbani na mtoto mzuri nakula vitu adhimu!!Mm Kwa Sasa siangalii mechi za Utd Maana naona wanaocheza ni Watoto Tu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanakatisha tamaa sana mimi pia sikuiangalia game vs City nilikuwa chumbani na mtoto mzuri nakula vitu adhimu!!
Hata kama wakikaa kimya! Bodi ya UTD ndo itayo amua kocha gani atue kwenye timu yaoNawashangaa mashabiki wenzangu wa United wanaolilia jamaa aje OT sijui wanatumia vigezo gani?
Bodi ya hovuo kuwahi kutokeaHata kama wakikaa kimya! Bodi ya UTD ndo itayo amua kocha gani atue kwenye timu yao
Ni kawaida kupanda na kushuka kwenye maisha. Kikubwa kukata tamaa kusiwepo.Bodi ya hovuo kuwahi kutokea
Aisee nipo naww mkuu .....Nawashangaa mashabiki wenzangu wa United wanaolilia jamaa aje OT sijui wanatumia vigezo gani?
Yaani timu yetu imekuwa ni ya kujaribu jaribu tyAisee nipo naww mkuu .....
Yule jamaa Mimi siuoni uwezo wake wa kuibadilisha manutd .......na Hana mbinu zozote za kimpira zenye ushawishi kwamba ana kitu cha kufanya pale.......Mimi binafsi sioni.
tutaenda kuwa kama enzi za Moyes ....kujaribu.
itachukua miaka mingi mkuu kuja kutambua kwamba Timu inadumbukia shimoni ........Yaani timu yetu imekuwa ni ya kujaribu jaribu ty
Umemaliza kila kitu ahsante sanaitachukua miaka mingi mkuu kuja kutambua kwamba Timu inadumbukia shimoni ........
Nafikiri tuwaache wamiliki na bodi waipeleke wanavyotaka wao .... sababu mapato yapo they don't care ....
Tuishi tu....tusicomplicate mambo