Gary Neville Ateuliwa kuwa Kocha mkuu wa timu ya Valencia-Hispania

Gary Neville Ateuliwa kuwa Kocha mkuu wa timu ya Valencia-Hispania

Troll JF

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
7,804
Reaction score
12,237
Full back mkongwe wa Manchester United na England ambaye alikua anafanya kazi kama mchambuzi (Pundit) na akina Jimmie Caragher, Thiery Henry na Jemie Rednap pale Skysports sasa Uchambuzi wake anaenda kuuweka kwa vitendo atakopokua Kocha mkuu wa Valencia FC.

All the best Legend.........
 
Ni jambo jema kwake kwenda kudhihirisha uwezo wake kwa vitendo.
 
Peter Lim tajiri wa Valencia ni rafiki mkubwa wa the Nevilles, mdogo ake Phil tayari ni kocha msaidizi..Pia Mr Lim ana share katika club ya Salford City ambayo wakina Neville, Scholes, Giggs, Beckham, Butt nao wakiwa na shares
 
I can see Valencia CF itakavyopata fans kutoka Man United
 
sikutegemea kama Valencia watafanya walichokifanya, Good luck to Gary
but I totally believe Valencia has made a
mistake. sidhani kama atadumu hapo kwa muda mrefu.
 
Back
Top Bottom