Full back mkongwe wa Manchester United na England ambaye alikua anafanya kazi kama mchambuzi (Pundit) na akina Jimmie Caragher, Thiery Henry na Jemie Rednap pale Skysports sasa Uchambuzi wake anaenda kuuweka kwa vitendo atakopokua Kocha mkuu wa Valencia FC.
Peter Lim tajiri wa Valencia ni rafiki mkubwa wa the Nevilles, mdogo ake Phil tayari ni kocha msaidizi..Pia Mr Lim ana share katika club ya Salford City ambayo wakina Neville, Scholes, Giggs, Beckham, Butt nao wakiwa na shares
sikutegemea kama Valencia watafanya walichokifanya, Good luck to Gary
but I totally believe Valencia has made a
mistake. sidhani kama atadumu hapo kwa muda mrefu.