NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Magonjwa ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula gastritis yamekua gumzo kwenye maisha ya kileo,katika watu kumi Saba wanatatizo la mmeng'enyo was chakula,kuwepo kwa matangazo ya dawa za kutibu mitandaoni Kila mara kunasadifu tatizo ni kubwa Santa kwenye jamii.
Enzi zetuwakati tunakua miaka ya tisini kuja Hadi 2000 Hali haikua hivi tunavyoiona,vyakula vya kusindikwa na kemikali viwandani vimesaidia sana tatizo hili linalokia Kwa kasi.
Matumizi ya sukari,unga,vinywaji baridi kama soda na pombe ndio chanzo kikuu cha tatizo hili la gastritis.
Matumizi ya chai isio na sukari asubuhi kabla ya kula chochote na usiku baada ya kula inasaidia sana Kwa wengi wenye tatizo hilo la gastritis.
Chai ya moto isiyo na sukari imesaidia sana kuondoa free radicals amabazo zinashambulia seli za utumbo na kuondoa uwezekano wa kupata kansa ya utumbo inayotokana na gastritis (kufeli Kwa mmeng'enyo wa chakula).
Ifike hatua wizara ya afya ianzishe kampeni ya kusaidia mfumo wa mmeng'enyo was chakula ambalo ndio janga kuu linalo nyemelea na kuangamiza taifa letu.
Say no to Gastritis!