Gatho Beevans: Mkongwe wa Muziki nchini Congo

Gato ni mwanamuziki bora kabisa kwa upabde wangu kutokea kongo

Ninazo kaz zake huwa zinanikosha sana
 
mangaribi ya leo, sisi sote tumo ndani.......
tunacheza kabila yote......
tunacheza leo mpaka kesho......

naimba tu ingawa sina uhakika kama nimepatia hayo maneno.
Umekosea kidogo mkuu;
Mangaribi ya leo,sisi sote kumuchezo
Tutacheza paka keshoo
Tunaita kabila yote,tunatoka mbali fwashi yote,tutacheza mpaka keshooo
 
Umekosea kidogo mkuu;
Mangaribi ya leo,sisi sote kumuchezo
Tutacheza paka keshoo
Tunaita kabila yote,tunatoka mbali fwashi yote,tutacheza mpaka keshooo
thanks mkuu, si unajua ni kitambo kidogo sijasikiliza!
 
Huyu Ruge akiandaa show zake tatu tu Dar, Arusha na Mwanza amemaliza kazi kwanini afulie kiasi hicho?
tena show zenyewe akimaliza hizo tatu za tz, anapiga moja nairobi na nyingine kampala baada ya hapo maisha murua kabisa.
 
Umekosea kidogo mkuu;
Mangaribi ya leo,sisi sote kumuchezo
Tutacheza paka keshoo
Tunaita kabila yote,tunatoka mbali fwashi yote,tutacheza mpaka keshooo
ngoma ya kwetu,magharibi ya leo,michezo ya kwetu magharibi ya leo ....mangaribi ya leo sisi sote tuimbie tuende kuchezaaaa,tunaita kabila yote tunatuma habari kwa watu wote...wageni wakuje kwetuuu,usiogope hata kidogo haiko ngoma ya kilio,tunafurahi duniani,,wanawake wote waimbe wanaume wapige kinanda leo njoo leo,wazee walisemaga kama ukingali na meno vunja mifupaaaa,tikisa mikono na miguuu×2kisha mwili yako yoooote,,,
 
Ngoma ya kwetu,ngomaaa
Michezo ya kwetu

Mkuu ninayo kwenye pc hapa naisikilizia Azalaki se Awa
 
Huyu kijana Congo alivuma mno ukanda huu wa dunia kuanzia mwanzoni mwa miaka ya 1990 kabla ya kupotea ghafla katikati ya miaka ya 90. Hivi bado yupo hai, yupo wapi na anafanya nini?View attachment 371999
anaishi mabibo external , hata judi nilikuwa naye kwa Juddy bar anakunywa pilsner aka UKAWA
 
Kama sio darasa la 3 basi la 4 enzi jamaa anatamba, sijui kafia wapi kijana huyu,yeye alikuwa na style yake ya uimbaji na kucheza huhitaji kutoa jasho kucheza nyimbo zake
 
mangaribi ya leo, sisi sote tumo ndani.......
tunacheza kabila yote......
tunacheza leo mpaka kesho......

naimba tu ingawa sina uhakika kama nimepatia hayo maneno.
....wazee walosemaga kama usingali maneno vunja mifupaaa aaah, tikisa mikono na miguu tikisa mikono na miguuu.....
Dah, kitambo sana. Nilikuwa dogo ila najitambua fresh. Kwenue birthdays za jirani tumedansi sana ghato beevins. Pia kuna kitu chake Azalaki se awaaaaaa!!
 
Huyu kijana Congo alivuma mno ukanda huu wa dunia kuanzia mwanzoni mwa miaka ya 1990 kabla ya kupotea ghafla katikati ya miaka ya 90. Hivi bado yupo hai, yupo wapi na anafanya nini?View attachment 371999

Yupo hai Mkuu na nakumbuka mara ya mwisho nilionana nae Tandale uzuri akinunua Samaki wa " kulumangia " na sikumtia tena machoni.
 
Sema huyu jamaa nilikua namashaka naye sana, kwama watu walikua hawali "jicho" sijui.!!
Maana pozi zake sikuwahi kuzielewa
 
Huyu kijana Congo alivuma mno ukanda huu wa dunia kuanzia mwanzoni mwa miaka ya 1990 kabla ya kupotea ghafla katikati ya miaka ya 90. Hivi bado yupo hai, yupo wapi na anafanya nini?View attachment 371999
huyu jamaa nasikia alikamatwa na drugs akafungwa miaka mingi na career yake ndio ikaishia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…