ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,494
- 3,630
Hiyo nyimbo kila nikiisikia napata huzuni sijui kwa nini.mzewe wa azalaki seawa
That is great aiseee Coz he had a great childish voice but could singggggYupo ufaransa....maisha yamemnyoosha mbaaya huyu ndugu.
Tunaisubiri hiyo ladha mkuuJamaa yupo sana ngoja nikupe ladha yake moja
Kuna Limbisa ngamani kaimba kwa kutulia sanaNaupenda sana wimbo azalaki awa
Kuna Limbisa ngamani kaimba kwa kutulia sana
Maisha aliopitia ni yenye historia ngumu na ya kuhuzunisha kwake.....Kuna Limbisa ngamani kaimba kwa kutulia sana
Azalaki awa niliupenda sana aiseenilimpenda sana Gatho na nilifuatilia habari zake kwa karibu, nakumbuka habari ya mwisho kumhusu yeye na ya kusikitisha ni kukamatwa kwake nchini Ufaransa na madawa ya kulevya ndani ya ,gitaa akahukumiwa kifungo kirefu
o lake kubwa lilikuwa ni lilelile kama la Emeneya, Yondo Sister, Mayoni Mayaula, Defao
Defao na Emeneya hawa kuungaunga walikuwa na bendi zao.
Defao - Les Big Stars
King Kester Emeneya - Victoria Eleison ‘ the dream team ‘
Mkuu AZALAKI HAWA sijaiona hapo,ila huyu jamaa now ni pastor huko georgiaWakuu,
Huyu jamaa ni mmoja kati ya watu waliotoa albums zao zikafanya vema miaka ya 90, akiwa na kina Tshala Muana. Nilikuja kufuatilia habari zake nikaambiwa kwa sasa anaishi Atlanta GA kutokana na matatizo ya Congo.
Kuna vibao kama Ngoma ya Kwetu
Na Azalaki awa
Vilikamata kwelikweli, sijui ikawaje naona videos kama hizi:
Yupo hai? What does he do for living? Roulette, una taarifa za huyu jamaa?