Gatuikira, Kiambu: Familia yalazimika kufanya mazishi ya kijana wao bila kuwepo mwili wa marehemu baada ya kushindwa kulipa gharama za hospitali

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Familia moja ya huko Gatuikira, kaunti ya Kiambu ililazimika kufanya mazishi kwa mtoto wao bila mwili wake baada ya kushindwa kulipa kiasi cha Milioni 17.8 za Kenya.

Mwili wa Brian Kimani wa miaka 13, ambaye alifariki Februari mwaka huu, unazuiliwa katika Hospitali ya watoto ya Getruding ukiwa unadaiwa Ksh Milioni 17.8

Taarifa zinaeleza kuwa mtoto huyo alikuwa akifanyiwa matibabu katika hospitali hiyo kwa takribani miezi mitano na nusu akipatiwa matibabu ya Leukemia.


Familia ya kijana hiyo ikiwa kwenye maombolezo
===
Zaidi Soma:
A family in Gatuikira, Kiambu County was on Thursday forced to hold a burial for their son without his body.

The body of 13-year-old Brian Kimani, who passed away in February this year, is withheld at the Getrudes’ Children Hospital over a bill amounting to Ksh.17.8 million.

The boy was undergoing treatment for Leukaemia after a relapse, at the Getrudes’ Children Hospital for five and a half months, before he passed on.

Family and friends of Brian Kimani gathered at the ACK St. Stephens Church in Gatuikira, Kiambu County, where the boys image, a canvas of faded dreams, silently graced the altar.

The memorial service saw many narrate of a boy who loved music and adventures.

In its defence the hospital through Head of Clinical Services Dr. Thomas Ngwiri insisted it is not their policy to detain the body of a deceased patient in lieu of payment.

“In line with professional practice and the recent court ruling on this matter, the hospital enters into agreement with the affected parents to secure the debt and allows the family to take the body for interment,” says Dr. Ngwiri in a statement issued on Wednesday.

The hospital says the family of Brian Kimani had informed them that the burial was scheduled for Friday, March 13 and that they would be in touch on Thursday, March 12 with a payment plan and to collect the body for burial.

“It is therefore, surprising that anybody would claim that the hospital has refused to release the body for a funeral service or burial. The hospital awaits the family for the meeting planned for Thursday, March 12,” adds the statement.

Since April 2018, the family has known no peace, they have spent almost Ksh.30 million from the treatment they accorded their son in India and Kenya.

Back home, photos of Brian Kimani, who would have joined Form One this year, have remained as conduits of the memories shared.

Citizen Kenya
 
Funzo pia kwa Wizara ya afya ya Tanzania ima ipunguze mzigo wa deni kwa familia ambayo mpendwa wao amefariki baada ya kuugua kwa muda mrefu katika hospitali ya serikali au iwe na utaratibu wa kusamehe deni na hiyo ni kutokana na mambo mawili.
1. Endapo itapunguza kiwango cha deni basi upo uwezekano kwa familia kujipiga kadri ya uwezo wao ili kuweza kulipa deni na kuzika mpendwa wao.

2. Endapo wakiendelea kung'ang'ania deni hilo basi familia ya marehemu ikiwa watashindwa kulipa deni hilo basi wataiacha maiti ya mpendwa wao kwa serikali na kuzikwa na jiji kitendo ambacho ni mzigo kwa serikali.

ᴱᵛᵉʳʸᵇᵒᵈʸ ˡᵒᵛᵉˢ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
 
Familia kushindwa kulipa mil zaidi ya 350 za kibongo kuchukua maiti ni umaskini? Je wewe waweza toa hela hizo kisa kuchukua tu maiti

Sent using Jamii Forums mobile app
Chief 350mil ni nyingi huyo jamaa hapo juu aache utani, kibongo bongo milioni 30 tu si bora uache maiti izikwe na jiji baadae utakwenda kujengea kaburi tu.

ᴱᵛᵉʳʸᵇᵒᵈʸ ˡᵒᵛᵉˢ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
 
Duuh! hiyo imenikumbusha mzee mmoja, nilimuona Bugando Hospitali nilimhurumia sana.
Alikuwa akimlilia mhudumu wa mochwari amruhusu aingie amuage mwanae kwa kuwa hana uwezo wa kusafirisha mwili kwenda Sengerema.
Mhudumu alimruhusu. Yule baba aliliaaaaaaaaaaaa, akasema "kwa heri mwanangu, haikuwa nia yangu kukuacha uzikwe na Manispaa, lakini na wewe unajua hali ya kipato chetu, hata hela za kukuleta huku tulichangiwa na "nzengo..."
 
Wazazi walimpeleka mtoto wao hospitali kwa mategemeo kuwa atatibiwa na atapona; hospitali walijua hatapona, lakini hawakuwashauri wazazi vilivyo, kusudi waamue kama mtoto abaki hapo au wamrudishe nyumbani; wanangoja hadi anakufa, afu ndo wanagang'ania maiti, si haki. Mi nadhani hospitali ikishindwa kumtibu mgonjwa akafariki, hata hayo madai yawe revisited, watamke kiwango kinacholipika au ikibidi wasamehe, maana nao hawajatibu.
 
Aisee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…