Gauni la Lupita lenye thamani ya $ 150,000 laibwa na kurudishwa tena

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,892
Gauni limeibiwa hotelini alikipwa alivae na Calvin Klein .Dah tuombe lipatikane jamani lisimtie nuksi dada wa watu .

 
Huyu kaliiba mwenyewe anataka aandikwe kwenye magazeti
 
chezea maisha magumu wewe.daah huko tunako elekea watajaiba hadi visivyo ibika.
 
Mbona umekurupuka hvyo? Toa maelezo zaidi.

Kwani hilo gauni lipo so special kwenye kitu gani? Mbona watu wengi huwa wanaibiwaga magauni? Au kwa sababu ni la lupita?

Aliibiwaje? Alikuwa akitembea akavuliwa? What happened and what makes it so special?

Toa maelezo zaidi kwenye thread yako..
 

Hahahaaa eti akavuliwa!
 
Yah maelezo yanahitajika..naona umeingia moja kwa moja kwenye comment tu
 


Lupita Nyong'o alikuwa mmoja ya wanamitindo na mastaa ambao walipendezesha Red Carpet na event yote ya sherehe za Tuzo za Oscars mwaka huu ambazo zilifanyika siku ya Jumapili February 22 Marekani.

Kuanzia siku ya jana kuna story ambayo ime hit vichwa vya habari vingi kuhusuLupita, lile gauni lake kali ambalo alivaa siku ya event hiyo limeibiwa katika chumba cha Hotel ambayo alikuwemo staa huyo.

Thamani ya gauni ni dola 150,000/-, sio hela ndogo kiukweli, ni kama mil. 270 Tshs.Gauni hilo lilikuwa maalum kwa ajili ya Lupita, lilitengenezwa na Calvin Clain.



Hotel hiyo ya London Hotel iliyopo Hollywood wamesema kuwa wanashirikiana na Polisi kufanya upelelezi kukagua picha za kwenye camera ya CCTV, wanaamini aliyeiba atapatikana kwa kuwa kama mtu alitoka amelibeba lazima wataweza kumgundua kutokana na ukubwa na uzito wa gauni hilo.

Chumba cha Lupita kilikuwa busy kutokana na watu wengi kuingia humo ikiwemo watu wa mitindo, make up, mameneja na marafiki zake wa karibu pia.

Chanzo: Millad Ayo
 
Hivi huyu demu kawapa nn wazungu wanampigia hvyo promo! mm siamin kama mzungu akupe airtime kiasi hki alafu asikutumie kwa mambo anayojua yeye!
 
Hivi huyu demu kawapa nn wazungu wanampigia hvyo promo! mm siamin kama mzungu akupe airtime kiasi hki alafu asikutumie kwa mambo anayojua yeye!

may be NYOTA
 
hiyo million 300 ya hilo gauni inatosha kuwapangia masupastaa wa bongo movie kama 30 hivi nyumba kule mbezi na waka make headlines front page za shigongo
 
Hivi huyu demu kawapa nn wazungu wanampigia hvyo promo! mm siamin kama mzungu akupe airtime kiasi hki alafu asikutumie kwa mambo anayojua yeye!
Nope keshakuwa initiated kwenye sisterhood ya illuminati, ni new comer so wanaka treat kama kama princess, akija mwingine wakishafanya zile gay and blood ritual zao yeye atakuwa keshapanda daraja
 
Binti mwenye asili ya Kenya Lupita Nyong'o ambaye alipata tuzo ya Oscar mwaka jana baada ya ushirika wake katika filamu ya 12 Years of Slave kakutana na janga.
Akiwa hotelini jijini London "WEZI/MWIZI" ambaye bado hajajulikana amemuibia gauni lake ambalo ni vazi la jioni alilolivaa siku akipewa Award ya Oscar. Gauni hili lina thamani ya USD 150,000 ( karibia Shilingi 290M za Tz).
Je kama wizi huu ungekua umetokea kwenye moja ya nchi za Africa , ingekua na coverage kubwa sana ya vyombo vya habari vya magharibi kwakua imetokea kwao wamepiga kimya si BBC wala Dailymail wameipa airtime hii habari wamepiga kimya tu.
 
Hoteli yaitwa ......The London ......Sio London Uingereza ni Marekani....good night.
 
Safi waliomuibia,ushenzi tu unavaa gauni la 300m wakati kwenu kenya familia yenu inashindia mabumunda na ndizi bokoboko?
 
Huyo mwizi sasa ataenda kuliuzia wapi?Ila nampongeza sana yani gauni milioni zote hizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…