Gauni la Lupita lenye thamani ya $ 150,000 laibwa na kurudishwa tena

Du aibu kweli dress yenyewe ina lulu za feki, sijui Calvin C watasemaje
 
Safi waliomuibia,ushenzi tu unavaa gauni la 300m wakati kwenu kenya familia yenu inashindia mabumunda na ndizi bokoboko?

Huwa wanalipwa na designers kuvaa kwenye red carpet nakumbuka mwaka 2011 kuna celebrity alilipwa $750,000 kuvaa jewelry na designers wanapata faida zaidi wanapoanza kupata orders za nguo au mapambo
 
Nope keshakuwa initiated kwenye sisterhood ya illuminati, ni new comer so wanaka treat kama kama princess, akija mwingine wakishafanya zile gay and blood ritual zao yeye atakuwa keshapanda daraja

I agree with you!! "Quid pro quo" Hawa wajamaa sio wema kabisa!!
 

My dear,mwizi alieliiba hilo gauni alidhania hivi,kwa kua wametangaza hilo gauni limetengenezwa kwa vipande vya madini aina ya pearl au lulu,na thamani yake imetajwa.kua ni dola laki na nusu,akajua umaskini bai bai.jamaa kaliiba akatoa baadhi ya vipande vya lulu kwenda kutest kuviuza.wanunuzi wakamwambia kua ile lulu ni feki ndio kwa hasira akalirudisha na kuwapigia simu polisi kuwaambia kua mgauni ule ni feki na hauna madini yenye thamani hiyo bali ni geresha tu.(nilijua ni wasanii wa bongo tu ndio wanaongezaga bei ya vitu ili waonekaane wa hali ya juu bila mpango kumbe hadi mbele mbele pia wana hako kamchezo doooh)
 

Kiasi chake imewashushia hadhi.
Teh! Hilo jamaa litakuwa jeuri aisee!!
 
Safi waliomuibia,ushenzi tu unavaa gauni la 300m wakati kwenu kenya familia yenu inashindia mabumunda na ndizi bokoboko?
cha kupewa si chakuiba gauni kapea bure na kelvin clein atangaze biashara yao angekataa
 
Limesharudishwa, inavyoonyesha ni wadadisi wa mambo walilichukua kwenda kuthibitisha kama lina thamani tajwa na materials used ni halisi au la, wamegundua sio halisi...so wametimiza matakwa yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…