Gauni la nyama (Lady Gaga)

Hivi akili ya huyu dada huwa iko sawa sawa kweli..vituko vyake tu huwa vinaniacha hoi
 
Hivi kuna uthibitisho kuwa hilo vazi lilitengenezwa kwa nyama kweli au nyama bandia? Manake nyama gani hiyo isiyoacha walau unyevynyevu wa damu? Au iliwekewa kemikali?

Nasita kuamini kuwa ilikuwa nyama ya kweli
 
Kweli kabisa.Hiyo sio nyama halisi.Ni mabandia tu/maplastiki yana rangi ya nyama.
 
au ni ushamba wangu jamani, mambo haya yanaweza tokea vipi, ila kweli tembea uone, ila tukichunguza
mambo ya ndani ya dunia hii yapo makubwa zaidi ya hayo, nasikia hapa bongo kuna sehemu unakunywa
bia ukihudumiwa na wasichana walio uchi.......
 
Haya bwana ndo kwenda na wakati..?....wacha nibaki nyuma
 
Hivi kuna uthibitisho kuwa hilo vazi lilitengenezwa kwa nyama kweli au nyama bandia? Manake nyama gani hiyo isiyoacha walau unyevynyevu wa damu? Au iliwekewa kemikali?

Nasita kuamini kuwa ilikuwa nyama ya kweli
Nanukuu kipande cha maelezo haya hapa:
The dress has invoked the fury of animal rights group Peta, as well as accusations that it could not surely have been made of real meat (Gaga insists it was).
Link hii story kamili BBC News - Five interpretations of Lady Gaga's meat dress

hiyo ni style spesheli for her "little monsters"
 
sipati picha alivyokuwa ananuka!uchizi tu unamsumbua!
hiyo bongo hatuwezi kuiga na hawa inzi wetu si wataonekana wao badala ya hio nyama!

kweli angefuatana na msafara wa inzi hadi ukumbini, nasikia bongo inzi wanafanya 100% ya population
 
Hivi kuna uthibitisho kuwa hilo vazi lilitengenezwa kwa nyama kweli au nyama bandia? Manake nyama gani hiyo isiyoacha walau unyevynyevu wa damu? Au iliwekewa kemikali?

Nasita kuamini kuwa ilikuwa nyama ya kweli

Hii ni nyama halisi mkuu, niliisoma kwenye jarida la OK! Ukigoogle utapata hata jina la designer (designer anasema hiyo ni nyama alichukua katika duka "butcher" lao la familia!!!). Huyu mtu kichaa jamani, siku nyingine atavaa gauni limetengenezwa kwa kinyesi!
 
Hiyo nyama aliyovaa kifuani na kiunoni nadhani ni kidali hicho...kha! amenikumbusha ma-BBQ na matrooper ya Arusha tu.......:becky:
 
Kisa umaarufu! kweli umaarufu gharama.
 
what it takes to be on the headlines!!! Bullshit!!:mad2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…