Gauni la Rose

bahati93

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
1,334
Reaction score
2,463
Watu bana sijui kwa nini wanakuwa na secret ajenda kila pale Rose anaposhine. Kazi kumwekea chuki tuu kila kukicha hapo zamani kidogo walimletea chuki baada ya kushinda tuzo ya kili, sasa wanaleta chuki juu ya gauni lake wakitoa sababu za ajabu. Eti gauni lina kola ya kiFremason, etii oooh gauni material ya satin, mara ooooh kubwa sana.

Come on.. People lile gauni kalitendea wema sana dada yetu. Kwanza tu ile rangi yake ya light green ina maana kubwa sana. Ile rangi inaashiria mwanzo mpya, inaashiria amani, Ina ashiria afya. Mumuache arelaxy Bwana anamfariji.

 
Yupo bien
 
Kwa gauni hili wallah aweza kuwa askari wa mwavuli na akaruka kwenye helikopta futi 1000 mpaka chini bila kuvaa parachute maana gauni ni parachute tosha
 
Huu uzi ameanzisha Christina Shusho alafu akaja kwenye coment kujisifia kuwa yeye ni Mkali sana, au sio mwanangu Goodluck Gozbert😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…