Gavana Ballali: Nini kinaendelea?

Cha kushangaza ni kwanini modes wameiweka hii kwenye vibweka vya wakubwa!
Binafsi nafikiri hili ni swali muhimu na sio simply "kibweka"

Sioni kibweka chochote kwenye habari hii. Decision ya baadhi wa mode wakati mwingine hazieleweki.
 
Balali yuko wapi jamani. Je uchunguzi juu yake nae unafanyika? nimesikia uchunguzi juu ya uchunguzi wa Richmond na Radar deals. Je Balali kulikoni?
 
Hujambo!
 
Tumeliwa kwa mda mrefu sana inatosha sasa.
#NI YEYE
 
Mambo mengi huwa yanaanza kuibuka JF kisha mabumunda yanakuja kujua baadae sana.
 
Kama Magufuli angekuwa serious angepiga pingu Kikwete kwanza, kuna watu wengi wenye kesi za kujibu nchi hii lakini wanalindana. Kama hakuna utawala wa sheria, Afrika itakuwa hivihivi mpaka mwisho wa Dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…