DSN
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 2,837
- 1,679
Hivi falsafa nzuri ya maisha ya Taifa letu sisi Watanzania tulio wengi ambao ni Wamatumbi weusi ni kutengeneza Uchumi mpana [Macroecomomics] au kutengeneza uchumi wa maisha ya Watanzania Wamatumbi ambao ndio wengi kuwa na uchumi ulio na faida na bora kwa maisha yao binafsi kuanzia Mtanzania mmoja mmoja [Microeconomics].
Kwa kuwa Watanzania mambo muhimu tunayoyataka kuendesha maisha yetu ni upatikanaji huduma za maji, nishati, barabara, elimu, huduma za afya bora, ajira na ulinzi wa usalama wa maisha yetu na furaha kwa Wananchi kulingana na ustawi unaonzia kwa Mtu mmoja mmoja,ngazi ya familia na hatimae Tanzania nziama kama Taifa huru.
Gavana wa Benki kuu bwana Benno Nduru katika dondoo [Hints] zake za maojiano yake na kituo cha Televisioni cha ITV,anasema uchumi mpana [Macroecomomics] wa Tanzania umekua na kutufanya kuwa kumi bora za Nchi katika Nchi za Kiafrika,lakini sio kukua Kiuchumi wa maisha ya watu [Microeconomics].Je hii huu ndio uchumi Watanzania tunaouhitaji Wanajamvi na Watanzania wenzangu?
Naomba kujuzwa na Wanajamvi labda ufahamu wangu ni mdogo kuhusu mambo ya Uchumi, hivyo basi unapelekea kunipotosha uelewa wangu mdogo kuhusu mambo ya Uchumi ya kuwa uwezi kuwa na uchumi mkubwa unaokuwa kwa kutokuwa na uchumi mdogo unaokuwa kwa kuanzia mtu mmoja mmoja na hatimae Uchumi wa Taifa zima.
Kwa tafsiri nyingine ndio kusema kuwa kama uchumi mkubwa unakua huku mamilioni ya Watanzania wanalia njaa na kuandamwa na matatizo kibao yasiyo na majibu na vikwazo vingi vya vinavyo wazuia wao kujiendeleza na kujistawiisha kiuchumi, kama ukosefu wa umeme na miundombinu isiyo na tija haswa vijijini na miji mikubwa. Kwa tafsiri hiyo basi Nchi yetu Tanzania Kiuchumi iko mikononi mwa watu wachache [watano au kumi kiuchumi ] ambayo kwa picha hiyo ni dhahiri kuwa tuko hatarini kiusalama kwa Uchumi wetu NA USALAMA WA TAIFA LETU NA WATU WAKE.Kwa kuwa tayari sisi kama TAIFA HURU basi HATUKO HURU ndio chanzo na hatima ya hapa tulipo fika kwa sasa.
Naomba mnisaidie uku mkipitia hizi tafsiri [Definition] hizi uenda nazo zinachangia kunipotosha kwa kuwa nazo bado zinatetea kile ninachoamini katika uelewa wangu mdogo wa Uchumi.
Microeconomics
Is a branch of ecenomics that studies the behavior of how the individual modern household and firms make decisions to allocate limited resources. Typically, it applies to markets where goods or services are being bought and sold. Microeconomics examines how these decisions and behaviours affect the supply and demanad for goods and services, which determines prices, and how prices, in turn, determine the quantity supplied and quantity demanded of goods and services.
One of the goals of microeconomics is to analyze market mechanisms that establish relative prices amongst goods and services and allocation of limited resources amongst many alternative uses. Microeconomics analyzes market failure, where markets fail to produce efficient results, and describes the theoretical conditions needed for perfect competition. Significant fields of study in microeconomics include general equilibrium, markets under asymmetric information, choice under uncertainty and economic applications of game theory. Also considered is the elasticity of products within the market system.
Macroeconomics:
It involves the "sum total of economic activity, dealing with the issues of growth,inflation and unemployment. Microeconomics also deals with the effects of national economic policies (such as changing taxiation levels) on the aforementioned aspects of the economy. Particularly in the wake of the Lucas critique, much of modern macroeconomic theory has been built upon 'microfoundations ' - i.e. based upon basic assumptions about micro-level behavior.
Macroeconomists study aggregated indicators such as GDP, unemployement rates, and price indicesto understand how the whole economy functions. Macroeconomists develop models that explain the relationship between such factors as national income, consumption, unemployement, inflation, savings, investment,international trade, and international finance. In contrast, microeconomics is primarily focused on the actions of individual agents, such as firms and consumers, and how their behavior determines prices and quantities in specific markets.
While macroeconomics is a broad field of study, there are two areas of research that are emblematic of the discipline:
1:The attempt to understand the causes and consequences of short-run fluctuations in national income (the business cycle), and
2: The attempt to understand the determinants of long-run economic growth (increases in national income)
Macroeconomic models and their forecasts are used by both governments and large corporations to assist in the development and evaluation of ecomomic policy and business strategy.
Nisaidieni,