MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Kule Tz mkulu wao aliamrisha watu wote wenye kesi za ufisadi warejeshe hela basi kesi zao zifutwe, kunao mmoja aliyekua anawapiga Watanzania shilingi milioni saba kwa kila dakika, naona naye hivyo hivyo anakwenda nyumbani.
Hapa kitu kama hicho kimekataliwa, gavana wa Kiambu amejaribu kumfuata rais lakini kapewa mgongo, abebe msalaba wake mwenyewe, huku tunafuata utawala wa katiba, mihimili haiingiliani, rais hana uwezo huo wa kuamrisha mahakama eti waache kumfuata gavana, ataliwa tu ili iwe fundisho kwa wengine, kunao mawaziri na makatibu tayari waliachishwa kazi na wameburuzwa mahakamani.
Hadi raha, hmna kitu kitamu kama kuwa na katiba nzuri. Taratibu tutafika, mwanzo mgumu ila kule mbele ya safari patakua patamu.
www.the-star.co.ke

Uhuru, DPP reject Waititu's pleas to drop cases
Waititu wants to pay the money said to been lost and walk back to work without punishment