Gavana wa BoT, Benno Ndulu: Watanzania wanatakiwa kuwa makini na hatari inayoambatana na fedha za kidigitali

maliselo22

Member
Joined
May 18, 2017
Posts
72
Reaction score
52
GAVANA MKUU WA BENK YA TANZANIA AMEFAHAMU KUA BITCOIN INAENDELEA KUKUA HAPA NCHINI
Gavana wa bot bwana benno ndulu ameweza kuzungumza na gazeti la THE GUARDIAN, nakusema kua watanzania wanatakiwa kua makini na risk ambayo inaambatana na fedha za kidigitali


"Tunazifahamu cryptocurrency hivyo sisi kama serikali ni hyena tujifunze kwanza " maneno ya Ndulu.Kutokana na maelezo ambayo bwana ndulu ameweza kuyatoa katika gazeti la guardian, Ndulu ameweza kusema kwamba BoT hawana uhakika sana kwamba wataweza kukabiri cryptocurrency.

"Unajua kwa sasa tunajaribu kulifanyia kazi swala hili ,ilituweze kuona kwamba kama tutaweza kuripa ruksa swala hili au kulizuia.Bado tunaendelea kujifunza na kuwa karibu sana na swala hili kabla ya kufanya maamuzi yoyote.

BENNO NDULU;MTANZANIA AMBAYE YUKO TAYARI KUJIWEKA KATIKA RISKI
Amesema ingawa ,ndulu ameweza kuelezea kwamba raia wa kitanzania wanapaswa kupewa tahadhari ,kwamba kufanya kazi na cryptocurrency ni sawa na kujiweka wewe mwenye katika riski.Hivyo ni ruksa kufanya ila ni kwa mapenzi yako na riski ya mtu mwenyewe.

#thegrandpow
 
Maisha ya kibongo yenyewe tu ni risk tosha, aache watu wajitafutie tu mambo ya risk ni matokeo tu
 
hiyo picha ya mwisho huyo ni nani?
 
Anazingua huyu! Basi waruhusu hata PayPal sasa kupokea na kutoa pesa TZ...
 
Taarifa ya October 2017 hata Benno Ndulu alikuwa hajastaafu
 
Tulishambiwa na yule mdau Ontario kuwa

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Kwaiyo ndulu muongo haaa haa
 
Hahahaa Ndulu atuache tujipakulie manoti yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…