Gavana wa Garissa awafuta kazi wafanyakazi hewa zaidi ya 3,000

Gavana wa Garissa awafuta kazi wafanyakazi hewa zaidi ya 3,000

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Gavana wa Kaunti ya #Garissa, Nathif Jama ameamuru kuondolewa kwenye orodha ya malipo kwa zaidi ya majina 3,000 ya Wafanyakazi hewa yaliyogunduliwa kufuatia ukaguzi wa rasilimali watu

Ukaguzi huo ulibaini kuwa Wakurugenzi wengi na Manaibu wao waliajiriwa kuwa Wakuu wa idara bila kuwa na Shahada za lazima za vyuo vikuu, huku takriban madereva 100 waliajiriwa ilhali Kaunti hiyo ina magari 12 pekee katika idara yake ya uchukuzi


.......,,..

Kenyan governor sacks over 3,000 'ghost workers'
The governor of Kenya's Garissa county has ordered the removal of more than 3,000 false names on the payroll.

The names were discovered following a human resource audit, local media report.

It also found that most directors and their deputies were hired to head departments without having mandatory university degrees. And about 100 drivers were employed yet the county has only 12 vehicles in its transport department.

Governor Nathif Jama said a taskforce had been appointed where those complaining of unfair dismissal can present their case.


Source: BBC
 
Back
Top Bottom