Gavana wa kaunti ya Narok, Samuel ole Tunai ampigia Rais Kenyatta debe

Gavana wa kaunti ya Narok, Samuel ole Tunai ampigia Rais Kenyatta debe

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Gavana wa Narok, Samuel ole Tunai amesema anaheshimu kauli ya mahakama ya juu ya kubatilisha matokeo ya uchaguzi wa urais na kutoa wito kwa wakazi wa sehemu hiyo kumpigia kura rais Uhuru Kenyatta kwenye marudio ya uchaguzi huo. Tunai aliwahimiza viongozi katika kaunti hiyo ya Narok kushirikiana katika kuhakikisha rais Kenyatta anaibuka mshindi kwenye uchaguzi huo mpya wa urais. Mbunge wa Narok Kusini, Korei ole Lemein pia alitoa wito kwa wakazi wa sehemu hiyo kumuunga mkono rais Uhuru Kenyatta. Mbunge wa Narok Mashariki, Ken Aramat Kiloku aliwahimiza wakazi wa eneo hilo kujitokeza kwa wingi kumchagua tena rais Uhuru Kenyatta.
 
Sawa

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Tutaonesha maraga kuwa we had won this election fairly,and tutashinda vitendawili na margin kubwa sana.
 
I respect RAO kwa jinsi anavyopigania demokrasia but He is not gud for the presidential post let UK lead for the second term.

"I pledge my loyalty"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom