Gavana wa Kiambu azindua hospitali kubwa siku tatu kabla ya uchaguzi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hawa viongozi wangekua wanafanya kazi kwa bidii ambayo tumeona kwa siku za hivi karibuni wakati uchaguzi unajongelea, nchi yetu ingekua imepiga hatua sana. Ushindani uliopo Kenya ni wa hali ya juu na kila kiongozi anatimka kwa kasi.

Hongera gavana wa Kiambu kwa kuzindua hii hospitali, wapigaji kura wa gatuzi yako natumai watakua na sababu za kutafakari upya.

Sisi na Nairobi yetu tuna mtihani maana hadi sasa sijashawishika nani anatufaa, kila nikiangalia chaguo zilizopo nakata tamaa. Kidero ametutafuna kwa ufisadi lakini hata hawa wanaojinadi yaani kufikia sasa hakuna aliyenipa hamasa ipasavyo.

------------------------------------------------------------------------

1610993.jpg

1610994.jpg

1610995.jpg

A section of children wing in the Thika Level 5 reproductive hospital unit. Photo/COURTESY

Kabogo said the facility will provide maternity services to women from neighbouring counties, including Murang’a, Machakos, Kitui, Kajiado and Nairobi.

He added that the unit is also the cheapest of its kind in the region in terms of cost of construction.

"In the past, a project of this kind would use over Sh2 billion and the work would still not be complete but for this project to be completed we will use a total of Sh800 million and Kiambu county residents will get the value of their money,” said Kabogo

The facility has been constructed in two years and will partner with the University of Toledo in the provision of renal services.
This comes a day after the governor shared a podium with President Uhuru and DP William Ruto in the presence of his arch rival Kabete MP Ferdinand Waititu.

Read: Crowds cheer as Kabogo, Uhuru share stage in Kiambu

Kabogo lost to Waititu in the Jubilee party nominations and is seeking to defend his seat as an independent candidate after Kabogo garnered 69,916 votes, against Waititu’s 353,604.
{Photos}: Kabogo launches Thika Level 5 hospital reproductive unit in his last campaign day
 
Gavana Kabogo anajua baada ya siku tatu watamkana kama walivomkana mwana wa Mungu. Tofauti na Kristo, yeye ashapanic. Gavana mpya wa Kiambu County ni mafioso nambar wan mwenyewe,Baba Yao A.K.A Ferdinand Waititu,mbunge wa Kabete kwa sasa.
 
Hayo sasa ndo tunaita maendeleo. Sio brah brah

Baba yao lazima aingie, hatutaki mtu atuambie ati pangeni laini kama matiti za mbwa niwapee pesa
 
Kwa development, ako poa sana, shida yake sasa ni madharau na majigambo. Amesema mambo mengi ya kuwadhalilisha wananchi wa county ya Kiambu, hasa wanawake bila kuonyesha hata majuto.

Lakini ningekuwa Kiambu, ningemsupport tu.
I cannot vote for Watito.
 
Watu wa Kiambu wakimnyima kura ni shauri yao. I don't understand why it is a tight race, Waititu vs Kabogo.
 
Baba yao lazima aingie, hatutaki mtu atuambie ati pangeni laini kama matiti za mbwa niwapee pesa
Umeona eeh? Huyu jamaa ana dharau,very arrogant! Watu wapange laini kama matiti ya mbwa tarehe nane wamuondoe. Angalau Baba Yao anajua kushaurina na wananchi na pia viongozi wenzake.
 
Hebu nipe track rcord ya baba yao, yapi amefanya ya kuonekana na kutajika zaidi ya kurusha mawe na vita. Kabogo ana dharau, hilo lipo bayana lakini likija suala la maendeleo, kuna vitu vya kuonekana.
 
MK254 Unaweza imagine hata Gavana wa Nairobi hawezi fanya jambo kama hili? Hehehe..Hii mie nitampa Sonko. Haja gani mtu uwe na degree na hata takataka pekee huwezi kusanya? Kwa wakaazi wa Kiambu, naamini Waititu ni mtu wa kuskia maoni ya watu na kuna maendeleo ataweza kufanya. Deputy governor wake ako juu sana na atweza kumsaidia na strategy.

PK yuajifanya hivi majuzi eti sio mkabila ilhali alipokuja Roysambu juzi campaigners wake waanza kusema eti Sonko atapigiwa na wakamba wake ambao hawatampigia uhuru Kura. Kwamba wakikuyu wampe PK kwasababu ni wao. Nilichoka sana na hizo siasa za kiupuuzi
 
Will kabogo manage it as an independent in a red hot jubilee zone? MK254, your thoughts /perspective?
 
MK254 Unaweza imagine hata Gavana wa Nairobi hawezi fanya jambo kama hili? Hehehe..Hii mie nitampa Sonko. Haja gani mtu uwe na degree na hata takataka pekee huwezi kusanya? Kwa wakaazi wa Kiambu, naamini Waititu ni mtu wa kuskia maoni ya watu na kuna maendeleo ataweza kufanya. Deputy governor wake ako juu sana na atweza kumsaidia na strategy.

PK yuajifanya hivi majuzi eti sio mkabila ilhali alipokuja Roysambu juzi campaigners wake waanza kusema eti Sonko atapigiwa na wakamba wake ambao hawatampigia uhuru Kura. Kwamba wakikuyu wampe PK kwasababu ni wao. Nilichoka sana na hizo siasa za kiupuuzi
Kidero ni mpiga dili hata ofisi zote alizopita ni kufisidi tu...ajabu Raila hajawai hata mkemea hadharani...yawezekana Kidero ni cash basket ya Raila
 
Back
Top Bottom