20 October 2022
Meru, Kenya
Gavana Kawira Mwangaza ameapa kuikomboa County ya Meru toka mikononi mwa vikundi vilivyozowea kujineemesha kinyume cha sheria.
Akiongea kuhusu azma yake ya safisha safisha amebainisha vita hiyo ya ukombozi kutoka minyororo ya cartels itasabanisha vilio na mayowe lakini hatasita mpaka ukombozi wa kuwatoa manyangau hao zifanikiwe
Hivi karibuni madiwani / MCAs wa County ya Meru wamekuwa na mvutano na gavana huyu mpya shupavu aliyeshinda kiti kama mgombea huru .
Gavana Kawira Mwangaza amewataka maMCAs (madiwani) kuacha kutumika na cartels, bali kwa pamoja ikiwemo yeye gavana wajiangazie kutumikia wananchi na siyo kunufaisha vikundi vya kujinufaisha wenyewe binafsi badala ya wananchi walio wengi.
Soma : wasifu wa gavana: Governor Bishop kawira Mwangaza

Tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC imewaonya magavana gladys wanga wa homa bay na Kawira Mwangaza wa Meru dhidi ya kukiuka sheria za uajiri katika kaunti zao. Huku Gavana Mwangaza akikabiliwa na ukiukaji maadili kwa kuwaajiri dada zake wawili na kumpa kazi mumewe ambaye pia anayehudhuria hata shughuli za kaunti, Gavana Wanga naye ametakiwa kukoma kubuni vyeo visivyokuwa kikatiba.