Gavana wa Meru kuisafisha county toka kwa cartels

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
20 October 2022
Meru, Kenya


Gavana Kawira Mwangaza ameapa kuikomboa County ya Meru toka mikononi mwa vikundi vilivyozowea kujineemesha kinyume cha sheria.

Akiongea kuhusu azma yake ya safisha safisha amebainisha vita hiyo ya ukombozi kutoka minyororo ya cartels itasabanisha vilio na mayowe lakini hatasita mpaka ukombozi wa kuwatoa manyangau hao zifanikiwe

Hivi karibuni madiwani / MCAs wa County ya Meru wamekuwa na mvutano na gavana huyu mpya shupavu aliyeshinda kiti kama mgombea huru .

Gavana Kawira Mwangaza amewataka maMCAs (madiwani) kuacha kutumika na cartels, bali kwa pamoja ikiwemo yeye gavana wajiangazie kutumikia wananchi na siyo kunufaisha vikundi vya kujinufaisha wenyewe binafsi badala ya wananchi walio wengi.

Soma : wasifu wa gavana: Governor Bishop kawira Mwangaza

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…