Gavana wa Murang'a akamatwa na EACC ...kazi imeanza Kenya, kamata kamata wezi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
imgqzw6s.jpg

Murang'a Governor Mwangi Wairia has been arrested by Ethics and Anti-Corruption Commission detectives over an electoral offense.

The governor failed to declare that he was convicted over a bounced cheque. He was arrested in his office and taken to the Integrity Centre.

He tried to address journalists but was shoved inside EACC offices by the officers. His lawyer John Ng'ang'a was also present.

Source:
Standard
 
MK254,
licha ya kwamba huyu ni mkikuyu mwenzetu,lakini pia ni mfwasi wa jubelee,kesi yake haitafika popote.:biggrin1:
 
Hehehe!! kadoda11 umekua obsessed sana na mambo ya ukabila hata kuwashinda Wakenya. Mnatamani sana mambo ya ukabila, ni vile tu Nyerere aliwaweza kwa kuchanganya makabila yote pamoja hadi mkakosa mila na jadi, kama wale black Americans.

Anyway, vita dhidi ya ufisadi vimeshika moto Kenya sasa hivi hata hatujui kitaibukia wapi maana mambo yanatendeka ghafla ghafla.
 
Last edited by a moderator:
Wazi.... Naona hata sonko amejitoa iliakae innocent hakuna kufuga hawa ma F*la leo wamesinya sasa
 
huyu kadoda11 ni Mkenya au Mtanzania?
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu amewaisema watanzania mmekalia ufisadi kenya wao wanasongambele, nikamwereza msi one matukio yakiripotiwa tz basi mjue ke hakuna ufisadi no, kuwa kimya ndiko kuulea ufisadi nibora wale wanao ripoti na kutangaza mitandaoni. Hongereni pambaneni na rushwa imekuwa tatizo sana
 
Utingo ni mchawi anataka sana kupata passport ya kenya iliakuje anusie kenya lakini ng'o
 
Last edited by a moderator:
Naaaah mchawi ni mmoja hapa tu.... Na ni ww hakuna wachinja-albino hapa
 
imgqzw6s.jpg

Murang'a Governor Mwangi Wairia has been arrested by Ethics and Anti-Corruption Commission detectives over an electoral offense.

The governor failed to declare that he was convicted over a bounced cheque. He was arrested in his office and taken to the Integrity Centre.

He tried to address journalists but was shoved inside EACC offices by the officers. His lawyer John Ng'ang'a was also present.

Source:
Standard
For this i have all reasons to congratulate our neighbour Kenya. Wanaanza kufanya kazi zao vizuri, sisi Watz we have something to learn, hapa kwetu Andrew Chenge pamoja na kukutwa na ushahidi wa pesa ya rada huko Jersey Island, na ESCROW bado anadunda mtaani tena kwa raha zake na kiburi cha kujiita ni Nyoka wa Makengeza.
BigUP KENYA
 
Kuna mtu amewaisema watanzania mmekalia ufisadi kenya wao wanasongambele, nikamwereza msi one matukio yakiripotiwa tz basi mjue ke hakuna ufisadi no, kuwa kimya ndiko kuulea ufisadi nibora wale wanao ripoti na kutangaza mitandaoni. Hongereni pambaneni na rushwa imekuwa tatizo sana

MOTOCHINI Ufisadi kwetu umekua ukitangazwa tu kama vile Tanzania, mambo yalikua ya kawaida kuweka mabango kwenye magazeti, mitandao ya jamii, maandamano barabarani n.k.
Lakini kilichotendeka juzi hakijawahi tokea, rais kutoa orodha ya wakulu 174 ghafla, wakiwemo mawaziri na viongozi wa kila aina na kuamuru washuke wote mara moja. Sasa hivi kuna mijadala kila sehemu kuhusu hili, maana hatujui kitakachoibuka maana baadhi ya hawa watu ni vigogo na wanaweza lipua na kuharibu.
 
Last edited by a moderator:
kadoda11 Una maana Utingo aliyejiunga na JF 2009 hadi sasa hajafahamu kuwa wewe ni batoto ba Nyerere.
labda ile post yangu ya kwanza pale juu imemchanganya.ila nataka tu nimwambie utingo kwamba ndg "Mwangi Wairia" ni mkikuyu mwenzetu na muranga ni "nijubadi".hiyo kwanza ai wekeree kwa kichwa yake:lol::eyebrows:
 
kiliochangu Chenge alikuwa M/Kiti kamati ya kuandika katiba,pendekezwa, anaruhusu zawadi rushwa na kufungua ACCT za wizi nje!!
Kweli TZd tumelogwa
 
Last edited by a moderator:
Wazi.... Naona hata sonko amejitoa iliakae innocent hakuna kufuga hawa ma F*la leo wamesinya sasa

Leo wamemtaka sonko atoe taarifa of how he is earning his hard cash hajaponea the guys are after his neck watch the space soon utasikia story ya sonko
 
MOTOCHINI Ufisadi kwetu umekua ukitangazwa tu kama vile Tanzania, mambo yalikua ya kawaida kuweka mabango kwenye magazeti, mitandao ya jamii, maandamano barabarani n.k.
Lakini kilichotendeka juzi hakijawahi tokea, rais kutoa orodha ya wakulu 174 ghafla, wakiwemo mawaziri na viongozi wa kila aina na kuamuru washuke wote mara moja. Sasa hivi kuna mijadala kila sehemu kuhusu hili, maana hatujui kitakachoibuka maana baadhi ya hawa watu ni vigogo na wanaweza lipua na kuharibu.

Aa kiukweli kwa hilo rais amejitahid tena mungu ampe ujasiri zaid
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom