MK254,
licha ya kwamba huyu ni mkikuyu mwenzetu,lakini pia ni mfwasi wa jubelee,kesi yake haitafika popote.:biggrin1:
Hehehe!! kadoda11 umekua obsessed sana na mambo ya ukabila hata kuwashinda Wakenya. Mnatamani sana mambo ya ukabila, ni vile tu Nyerere aliwaweza kwa kuchanganya makabila yote pamoja hadi mkakosa mila na jadi, kama wale black Americans.
Anyway, vita dhidi ya ufisadi vimeshika moto Kenya sasa hivi hata hatujui kitaibukia wapi maana mambo yanatendeka ghafla ghafla.
For this i have all reasons to congratulate our neighbour Kenya. Wanaanza kufanya kazi zao vizuri, sisi Watz we have something to learn, hapa kwetu Andrew Chenge pamoja na kukutwa na ushahidi wa pesa ya rada huko Jersey Island, na ESCROW bado anadunda mtaani tena kwa raha zake na kiburi cha kujiita ni Nyoka wa Makengeza.
Murang'a Governor Mwangi Wairia has been arrested by Ethics and Anti-Corruption Commission detectives over an electoral offense.
The governor failed to declare that he was convicted over a bounced cheque. He was arrested in his office and taken to the Integrity Centre.
He tried to address journalists but was shoved inside EACC offices by the officers. His lawyer John Ng'ang'a was also present.
Source: Standard
Kuna mtu amewaisema watanzania mmekalia ufisadi kenya wao wanasongambele, nikamwereza msi one matukio yakiripotiwa tz basi mjue ke hakuna ufisadi no, kuwa kimya ndiko kuulea ufisadi nibora wale wanao ripoti na kutangaza mitandaoni. Hongereni pambaneni na rushwa imekuwa tatizo sana
labda ile post yangu ya kwanza pale juu imemchanganya.ila nataka tu nimwambie utingo kwamba ndg "Mwangi Wairia" ni mkikuyu mwenzetu na muranga ni "nijubadi".hiyo kwanza ai wekeree kwa kichwa yake:lol::eyebrows:
Wazi.... Naona hata sonko amejitoa iliakae innocent hakuna kufuga hawa ma F*la leo wamesinya sasa
MOTOCHINI Ufisadi kwetu umekua ukitangazwa tu kama vile Tanzania, mambo yalikua ya kawaida kuweka mabango kwenye magazeti, mitandao ya jamii, maandamano barabarani n.k.
Lakini kilichotendeka juzi hakijawahi tokea, rais kutoa orodha ya wakulu 174 ghafla, wakiwemo mawaziri na viongozi wa kila aina na kuamuru washuke wote mara moja. Sasa hivi kuna mijadala kila sehemu kuhusu hili, maana hatujui kitakachoibuka maana baadhi ya hawa watu ni vigogo na wanaweza lipua na kuharibu.
kiliochangu Chenge alikuwa M/Kiti kamati ya kuandika katiba,pendekezwa, anaruhusu zawadi rushwa na kufungua ACCT za wizi nje!!
Kweli TZd tumelogwa