johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huu uzi umeletwa na nzi wa kijani tu. Hivi katika mifano yenu mbona hamjawahi kuwazungumzia USA ambao wanafanya uchaguzi kila miaka minne???Siasa za Tanzania huenda zinafuatiliwa sana na wakenya kwani sasa ile hoja ya Mh Nkamia nao wameichukua.
Gavana wa Nairobi mh Sonko ametaka Katiba ya Kenya ifanyiwe marekebisho ili kumpa fursa Rais Uhuru Kenyatta kubakia madarakani kwa muhula wa tatu.
Source Citizen tv
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaa mbwiga umeshapanic!Huu uzi umeletwa na nzi wa kijani tu. Hivi katika mifano yenu mbona hamjawahi kuwazungumzia USA ambao wanafanya uchaguzi kila miaka minne???
Hata ukitaka iwe miaka 2 hamna shida peleka hoja!Jibu hoja. Vipi tukibadili muda wa uraisi from 5 years to 4 years kama USA???
Eti zinafuatiliwa umeona wapinzani wa kinyata wakipigwa risasi kisa kuisema serikali yake??, inawezekana huyo Gavana nae ni poyoyo km ww na Nkamia.Siasa za Tanzania huenda zinafuatiliwa sana na wakenya kwani sasa ile hoja ya Mh Nkamia nao wameichukua.
Gavana wa Nairobi mh Sonko ametaka Katiba ya Kenya ifanyiwe marekebisho ili kumpa fursa Rais Uhuru Kenyatta kubakia madarakani kwa muhula wa tatu.
Source Citizen tv
Maendeleo hayana vyama!
Lakini ufipa nani anawapiga risasi na kama unamjua nenda mahakamaniEti zinafuatiliwa umeona wapinzani wa kinyata wakipigwa risasi kisa kuisema serikali yake??, inawezekana huyo Gavana nae ni poyoyo km ww na Nkamia.
Hahahaa mbwiga umeshapanic!Eti zinafuatiliwa umeona wapinzani wa kinyata wakipigwa risasi kisa kuisema serikali yake??, inawezekana huyo Gavana nae ni poyoyo km ww na Nkamia.
Hakika mkuu!Lakini ufipa nani anawapiga risasi na kama unamjua nenda mahakamani
Kubakiza mtu vile inahtaji akili ya kilevu piaSiasa za Tanzania huenda zinafuatiliwa sana na wakenya kwani sasa ile hoja ya Mh Nkamia nao wameichukua.
Gavana wa Nairobi mh Sonko ametaka Katiba ya Kenya ifanyiwe marekebisho ili kumpa fursa Rais Uhuru Kenyatta kubakia madarakani kwa muhula wa tatu.
Source Citizen tv
Maendeleo hayana vyama!
Katiba bora E/Africa lkn kwenye amani hamuongozi.Hapa Kenya tuna katiba bora kuzidi zote ukanda wote huu, hilo jambo haliwezekani. Japo kila mtu ana uhuru wa maoni.
Katiba bora E/Africa lkn kwenye amani hamuongozi.
Hiyo ni katiba bora kwa wakikuyu tuu, hao wengine sijui wamombasa, waluhya tupa kule. MK254 Karibu tule mbuzi na tufanye ile uchawi yenyu inayoitwa guchiri.Hapa Kenya tuna katiba bora kuzidi zote ukanda wote huu, hilo jambo haliwezekani. Japo kila mtu ana uhuru wa maoni.
Hiyo ni katiba bora kwa wakikuyu tuu, hao wengine sijui wamombasa, waluhya tupa kule. MK254 Karibu tule mbuzi na tufanye ile uchawi yenyu inayoitwa guchiri.
Hilo la amani sitegemei tuwe namba moja maana sisi Wakenya sio watu wa kuzimwa zimwa kama mazombi, hatupelekeshwi ovyo ovyo, huwa tupo tayari muda wowote kuhoji, tunahoji kila kitu ikiwemo historia, hatukandamizwi na kukaririshwa pumba kama mazombi kisa amani.
Hamna kitu cha ovyoo kama kutajwa unaongoza kwa amani ila watu wako wanaishi kwa kunun'gunika ndani kwa ndani, wamejaa machungu na majungu ila wanakenua meno ili tu watajwe kuwa watu wa mani. Kwa mfano utafiti unaonyesha Tanzania imetajwa ndani ya mataifa kumi ambayo wananchi wake hawana furaha hata kidogo, yaani duniani hata sio Afrika bali dunia yote mpo ndani ya mataifa kumi yenye dhiki kuu japo pia mnatajwa kama nchi yenye amani hapa Afrika......isitoshe, mnatajwa ndani ya mataifa maskini wa kutupwa duniani.
Yaani sifa ambazo sijui zinaendana kivipi, kwamba nchi ambayo watu wake wanaongoza kwa kukosa furaha duniani, ambayo imeorodheshwa ndani ya maskini wa kutupwa duniani, lakini yenye amani zaidi ya zote EAC, watu mnaishi tu muishi bila kuhoji chochote, mpo mpo tu.....https://www.fastcompany.com/90323247/these-are-the-10-happiest-and-unhappiest-countries-in-the-world-in-2019