Gavana wa Nairobi, Mike Sonko amekamatwa na polisi

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Gavana Mike Sonko amekamatwa baada ya mvutano baina ya wafuasi wake na polisi.

======

Nairobi Governor Mike Sonko, who is facing impeachment by the Nairobi County Assembly, was on Monday afternoon briefly held by police in Nairobi.

The governor was meeting MCAs who support him ahead of an impeachment motion against him.

In what seemed like a cat and mouse chase, police had stormed a venue at Office Park on Riverside drive where Sonko had hosted the city reps only to miss him there.

He had earlier planned a press conference at the location but later switched the venue.

Police stormed their new location at 113 Riverside Drive and scuttled the meeting. They lobbed tear gas canisters at the venue to disperse the legislators.

Last week, Nairobi County Assembly initiated the process to impeach Mr Sonko on grounds of gross violation of the law, committing a crime under the national and international laws, and lacking the capability to run the county.

The MCAs had come to support him and reject the signatures appended for the impeachment motion slotted for Thursday, December 3, 2020.

The motion was set rolling after 86 of 122 MCAs signed in support of the petition. This will be the second time in less than a year that Sonko has faced impeachment.

kwamba governor wa serikali naye ana wafuasi wake[emoji16][emoji16][emoji16].

kwani nyinyi watu mnaishije huko!!!
 
Tuliwaambiaga wakati wa uchaguzi kwamba hadhi ya viongozi kama Sonko na mwenzake Waititu sio Ugavana wala Useneta bali ni vyeo kama Ubunge, Udiwani kuenda chini. Ila wakatuita mahater, sasa ona aibu zinazohusishwa na taasisi ya Ugavana ambayo kikatiba inafaa iwe inaendana kwa sana na U'CEO' bila drama na siasa za kipuuzi. Angalau sie majirani zenu, wazawa wa kule Gatuzi la Kajiado tulimgawa uraia No.1 kiongozi ambaye alikuwa waziri sio mwanasiasa. Gavana wetu, Mr. What you are seeing is the terrorists lighting some matresses on fire. [emoji1]
 
Mkuu nifafanulie hiyo quotation ya Mr ilikuwaje
 
Huyo gavana wenu wa Kajiado ana kichwa boflo sana. Hicho kichwa chake kinafanana na basi la ISUZU. Japo ni mtu mzuri na mkarimu.

Yes, watu wa kabila lake. Hata wewe kama ni mzaramu ukawa mkuu wa Wilaya ya Lindi mjini, basi tambua kuwa kuna wazaramu watakufuata huko kukupigia debe na kutumia jina lako kwa manufaa yao na kuwaambia wakazi wa Lindi kuwa wana undugu na wewe hivyo nao inabidi waheshimiwe. Kenya is beyond what you know, yaani ukabila is killing that country softly, it's too much.
 
Tuliwaambiaga wakati wa uchaguzi kwamba hadhi ya viongozi kama Sonko na mwenzake Waititu sio Ugavana wala Useneta bali ni vyeo kama Ubunge, Udiwani kuenda chini. Ila wakatuita mahater, sasa ona aibu zinazohusishwa na taasisi ya Ugavana ambayo kikatiba inafaa iwe inaendana kwa sana na U'CEO' bila drama na siasa za kipuuzi. Angalau sie majirani zenu, wazawa wa kule Gatuzi la Kajiado tulimgawa uraia No.1 kiongozi ambaye alikuwa waziri sio mwanasiasa. Gavana wetu, Mr. What you are seeing is the terrorists lighting some matresses on fire. [emoji1]
Hii mtu kumbe bado ipi
Nilijua Corona ilipeleka
 
Huyo gavana wenu wa Kajiado ana kichwa boflo sana. Hicho kichwa chake kinafanana na basi la ISUZU. Japo ni mtu mzuri na mkarimu.
Aiseee nimecheka sana 😂🤣😂🤣
 
Huyo gavana wenu wa Kajiado ana kichwa boflo sana. Hicho kichwa chake kinafanana na basi la ISUZU. Japo ni mtu mzuri na mkarimu.
[emoji1][emoji1][emoji1] Anaitwa 'Le Lenguu aka Swag Master au ukipenda Oloiboni 034. [emoji38]
 
Back
Top Bottom