Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Aliyekuwa Gavana wa Jimbo la Kiambu, Ferdinand Waititu amehukumiwa kifungo cha miaka 12 jela ama kulipa faini ya kiasi cha Sh1.08 bilioni (Ksh53.8 milioni) baada ya kumtia hatiani kwa makosa ya ufisadi na utoaji zabuni ya barabara yenye thamani ya zaidi ya Sh11 bilioni (Ksh588 milioni).
Akisoma hukumu hiyo leo Alhamisi Februari 13,2025, Hakimu Mkuu wa mahakama ya jimbo hilo, Thomas Nzioki amesema mbali na Waititu, mahakama hiyo pia imemhukumu mke wake, Susan Wangari, kifungo cha mwaka mmoja jela ama kulipa faini ya zaidi ya Sh10 milioni (KSh500,000).
Waititu na mkewe, Susan Wangari, walitiwa hatiani jana Jumatano Februari 12, 2025, na hukumu yao kusomwa leo Februari 13, 2025.
Walikuwa wanakabiliwa na makosa ya mgongano wa maslahi na kujipatia mali yenye utata, baada ya kupokea mamilioni ya fedha kwa njia ya rushwa kupitia zabuni ya ujenzi wa barabara Jimbo la Kiambu nchini humo.
The High Court has issued orders freezing assets worth Ksh.1.9 billion, comprising 18 parcels of land and seven motor vehicles, belonging to former Kiambu Governor Ferdinand Waititu.
This after the Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) in May 2022 filed a suit that, among other things, sought to have Waititu substantiate the source of the assets he is said to have acquired during his stint as Kabete Member of Parliament and later on as Kiambu Governor.
Investigations by the anti-graft watchdog state that Waititu awarded irregular tenders to contractors who then forwarded the proceeds of the sham procurement contracts to his bank accounts and that of his wife as well as three companies registered under his spouse's names.
The companies on the spot are; Saika Two Estate Developers Limited, Bienvenue Delta Hotel and Bins Management Services Limited.
"He also traded with the county through companies registered in the names of his wife and their daughter Monica Njeri Ndungu, who upon receipt of payments from the county transferred money to him," a source at EACC told Citizen Digital.
"As a result, he accumulated assets worth Ksh.1,937,709,376.54 which is disproportionate to his known legitimate sources of income for the period between 2015 and 2020."
When EACC filed the petition, it wanted the court to issue an injunction barring Waititu from alienating the 18 parcels of land and selling the seven motor vehicles.
Source: The Citizen Digital