Gawa elimu unayopata katika sehemu kuu tatu.

Gawa elimu unayopata katika sehemu kuu tatu.

Joined
Aug 24, 2013
Posts
29
Reaction score
8
Ndugu watanzania, jitahidi kugawa elimu yako ktk sehemu kuu tatu;
(i) kazi za mikono; eneo hili ni vizuri mno, ukafanya kwa kutumia elimu uliopata darasani na si nadharia tu, hapa inamaana hivi, uweke elimu katika vitendo.kumbuka kazi za mikono nikipimo cha utu.kufanya kazi kutakutofautisha na wengine,kutakufanya ufikie malengo lakini pia kutakuongezea kipato chako. kwa mfano, kama wewe ni mtumishi wa uma, hakikisha una vitegauchumi(miradi)k.v ufugaji na kilimo cha bustani ambavyo vitakufanya uwahi alfajiri kuvishughurikia, hakika hutafanana na mtegemea ajira tu.
(ii) Kazi za akiri, hizi ni kazi zinazohitaji fikra za mtu ama watu kabla ya kutendwa kwa mikono. kumbuka vitu vingi unavyo vitumia vilitengenezwa kwenye akili ya mtu kwanza, mf. vyombo vya usafiri barabara,hata shule ulio isoma ni mtu alitengeneza kwenye akili yake kwanza. naam! hata kazi unayofanya ni mwajiri wako alifanya kazi ya akiri kwanza. sasa usipojua hili utabaki kuwa mtumwa wa mawazo ya wenzako miaka yote.
ok! itaendelea baadae...
 
nangojea umalize....kuna ukweli katika usemayo!!!
 
Back
Top Bottom