K Koryo2 JF-Expert Member Joined Nov 28, 2016 Posts 2,056 Reaction score 2,519 Sep 19, 2018 #1 Nimesoma kwenye tarifa za Vodacom kuwa kwa mwaka huu wanatarajia kutoa gawio kwa kila hisa Tshs.84. Ninauliza, Je gawio imekwishatolewa? na kama bado watatoa lini?
Nimesoma kwenye tarifa za Vodacom kuwa kwa mwaka huu wanatarajia kutoa gawio kwa kila hisa Tshs.84. Ninauliza, Je gawio imekwishatolewa? na kama bado watatoa lini?